Ndio wivu wenyewe huo. Mafanikio ya Arsenal so far unayaonea gere, hakuna aliyekukaribisha kwenye jukwaa la Gunners, umekuja mwenyewe kwa hiari yako. Pilipili iko Emirates wewe inakuwasha hata sijui unatoka wapi? What a loser!hakunaga mtu mwenye wivu na mshindwa!!!mnashindwa kila siku nani awaonee wivu??pia mambo ya mpunga safi washabiki hawapati huo mpunga..mshabiki anachopata ni kusherehekea ubingwa....sasa ukimuambia asubiri miaka 4 ni kumkwaza!!!hongera lakini kwa kuwa diehard fan wa gunners
Reconsider the previous postKijana vipi tena?!! Siku hizi sikuoni jukwaa lako pendwa!
Duh!Mpo nyie kikundi cha WAHUNI
View attachment 475483
Ramsey believes Prof has been a great Manager for the Gunners and himself. He also says players are letting him down.
Ndio wivu wenyewe huo. Mafanikio ya Arsenal so far unayaonea gere, hakuna aliyekukaribisha kwenye jukwaa la Gunners, umekuja mwenyewe kwa hiari yako. Pilipili iko Emirates wewe inakuwasha hata sijui unatoka wapi? What a loser!
mafanikio gani ya Arsenal ya kuyaonea gere!!???kuchukua Ubingwa wa Ulaya mara 0 na kuzidiwa hata na Aston villa na Nottingham Forest kwa mafanikio ulaya???Au Kuchukua ubingwa wenu wa 4th place kila mwaka???wewe hujawahi kuingia jukwaa la Manchester United??mbona ktk ushabiki wa soka ni kawaida kutembelea majukwaa ya wapinzani wako???
Saa mbili usikumechi saa ngapi