Pengo la kuumia Kos limeonekana. We will see them at Emirates, Ozil missed a sitter, they have an advantage but anything can happen in football. If any team can win its the Gunners watch this space.
Kwa nini awaachie timu wakati kuku anaowafuga wanatotota mayai mengi tu. Leo wamewapeni mayai 5 au mlitaka zaidi ya mayai 5?
Mnamlaumu Wenger bure. Ona Alex alivyokuwa anawapa moyo na kuwataka wakimbie kimbie uwanjani lakini kuku zingine zilipooza kabisa. Lile yai la 5 kwa mfano, kipa na beki mbili zinashindwa kupeleka mpira mbele wakiwa wameshatandikwa mabao 4.
Nilipoona mlimia meno ameingia badala ya Koscielny nilikimbilia bakuli la bisi nikijua sasa hapana kazi tu!
Nilikumbuka kauli ya "Mwafaaa!"
Bayern walitumia mbinu safi sana ya kuwadondoshea mtama kuku wa Wenger. Na kipa amewaokoa sana leo, vyenginevyo Kuku wa Wenger wa wangempatieni mayai dazeni moja.
Wenger Out?
Kama tu mmeshiba mayai. Nani amechoka kula mayai? Kula mayai kwa ajili ya kuimarisha afya yako.
Arsenal ni sawasawa na Yanga tu. Hawa, hawana jipya kwenye mashindano ya kimataifa, yaani wanaridhika kupanda ndege tu na kuwa wasindikizaji mwaka nenda mwaka rudi.
Kwa jinsi ninavyowajua majiran zetu wakenya kwa kipigo hiki cha Arsenal.. sidhani kama Israeli leo atakua mbali na kisumu, mombasa na viunga vyake vyote..