Hahahahahaja hata nami nasema hayakuhusu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata wakati the special one akiwa chelsiki ulikuwa unamnaga sana siku hizi mnae.
Unanikumbusha demu anavyotongozwa na mwanaume fulani halafu anamnaga eti hafai kuwa mume wangu, siyo type yangu.
Baada ya miaka mitatu hivi unakutana nae wameshaoana na wana mtoto. Ukimwuliza vipi tena mbona ulisema siyo type yako anakujibu "hayakuhusuuuuuu".
Hahahahahaja hata nami nasema hayakuhusu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Enough is enough. Huyu mzee nae apite iv tu. Muda wake nae kuishinei.
sasa mcheke arsenal kwa meno yote 34 kuwa nje.Mi km shabiki wa Man U ziwezi kumcheka Arsenal mpaka kesho
BuhahahaHa ha haaaaaaaaaaaaa..........sasa mcheke arsenal kwa meno yote 34 kuwa nje.
khe khe kheeeeeeeeee khe khe kheeeeeeeeHa
BuhahahaHa ha haaaaaaaaaaaaa..........
siyo kufungwa tu bali karudi nafasi ya 4 . khe kheeeeeeeeeeNendeni mkanywe chai chacha kwenye cow shed Gunners wamefungwa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee