Washika Bunduki wazima humu?, jana vigogo wote walipoteza point kadhaa, sijui nyie leo itakuwaje,
wazee wa 3:4:3 wala hatuna shida, hatutawaangusha wa London Wenzetu na Kombe litakuja London, leo Hull atachezea za kutosha tu
Nawatakia mechi njema wana london wenzetu