Acha kujidanganya..man utd ikijitahidi sana ni namba tano msimu huuSisi tunaamini katika ubingwa hatuwafukuzi arsenal wala liver, hawa tunajua ni wasindikizaji tu, sisi tunamfocus alie kileleni
Pigia mstari hayo maneno yangu
Wakati mwingine napenda tuongee ukweli ambao nafikiri ni mchungu sio kwako tu hata kwangu pia,arsenal msimu uliopita alipaswa kuchukua ubingwa njia yake ilikuwa nyeupe man u,Chelsea ,liver wote wali floop Leo hii ndg Bournemouth na Sunderland wanachukua point moja kwa arsenal na liver lakini kwa Chelsea, man u na city hawa wadogo wanafungwa vizuri bila nguvu nyingi , team haiwezi kuwa bingwa kwa kuifunga city na kudroo na sunderland,middle,everton,trophy inapatikana pale unapoifunga timu kubwa au droo na kufunga ndogo 97%,Mkuu bingwa wa EPL hapatikani wakati wowote kabla ya mechi 38, leo tupo mechi ya 20, 18 matches to go, upo hapo yaani 18*3 points to play for ....... ...... khe khe he khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Pambaneni muangalie uezekano wa kupata hiyo nafasi yenu ya milele ya 4 na sijui kama mara hii mutaipata, lakini sio ubingwa, kuhusu usimba na uyanga sijawahi kua mshabiki wa timu yoyote ya tanganyika, huo ujinga munao nyinyi huko tanganyika, sijawahi hata kufuatilia hilo liligi lenuEndelea kuota moto huna lolote ni ule ubishi wa Yanga na Simba, huwa hatufanyi huo ubishi hapa khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, EPL any team can beat anybody kwa taarifa yako kama unaanza kuangalia EPL happy new year. Timu yako iko wapi bado unacheza Ali Hamisi then unakuja na kimbelembele phew!
Hahaha muda si mrefu namkabizi arsenal 6 mimi nakufuata acha mawenge, jitahidi leo ushinde, shetani keshafufuka anakufataAcha kujidanganya..man utd ikijitahidi sana ni namba tano msimu huu
Mkuu hawa wanalijua hilo wanajitia wazimu tu, nilishasema kitambo liva na arsenal ni wasindikiza tu wala chelsea asiwe na presha nao, amuogope man city, utd au hata spurs anaweza kuleta challengeWakati mwingine napenda tuongee ukweli ambao nafikiri ni mchungu sio kwako tu hata kwangu pia,arsenal msimu uliopita alipaswa kuchukua ubingwa njia yake ilikuwa nyeupe man u,Chelsea ,liver wote wali floop Leo hii ndg Bournemouth na Sunderland wanachukua point moja kwa arsenal na liver lakini kwa Chelsea, man u na city hawa wadogo wanafungwa vizuri bila nguvu nyingi , team haiwezi kuwa bingwa kwa kuifunga city na kudroo na sunderland,middle,everton,trophy inapatikana pale unapoifunga timu kubwa au droo na kufunga ndogo 97%,
chacha si fergie time lakini khekhekheeeeeeeeeeHakukua na Fergi Time, kuna mchezaji aliumia pamoja na mpira kusimama Wacha fujo! Refa kaabeba tu sana.
Watu mnajua kuwakatisha tamaa arsenal ila mwisho jamaa walichanganyikiwa wangeweza kushindaWashinde njaa labda
Wangewaka sanaIngekuwa Man U tumeongezewa dakika 6 kuna watu wangeimba na live band kabisa
Swali zuri hiloWashabiki arsenal niwaulize kitu mnijibu.....mnataka Leo tufungwe ili spurs wawapite waingie nafasi ya 3?? Au mnataka tuwafunge spurs ili mbakie nafas ya 4?
Mshinde Mfungwe Shauri LenuWashabiki arsenal niwaulize kitu mnijibu.....mnataka Leo tufungwe ili spurs wawapite waingie nafasi ya 3?? Au mnataka tuwafunge spurs ili mbakie nafas ya 4?
Umepaniq, tuliza churaa!Mshinde Mfungwe Shauri Lenu
#COYG#
Wawafunge ili tutoke top4Washabiki arsenal niwaulize kitu mnijibu.....mnataka Leo tufungwe ili spurs wawapite waingie nafasi ya 3?? Au mnataka tuwafunge spurs ili mbakie nafas ya 4?
Duuuh kwel ukipenda kipofu utasema ni chongo.Achen kulinganisha goli la mikhy na vitu vya kipuuzi bana