Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal haina tofauti na demu wa kilokole hahaha ..arsenal ni mojawapo ya vitu vnavyoniondolea stress hahaha
Hizi lugha za chooni uwe unafanya kuziweka kando kidogo pale unapokuwa unaiongelea Arsenal ebo..

Haya umeona sasa three points zileee tayari na usiku huu man city anang'ang'aniwa anabaki pale pale
 
Wapi wewe, wakati PSG yule kocha wao wa muda walionae kuna uwezekano akaondoka mwezi wa tatu... Na nguvu kubwa ya kumpata kocha mwingine wameishalekezea kwa wenger.
Basi itakuwa bora kwenu kama watamchukua ujue mwaka wa 12 huu mnanusa tu harufu ya kombe
 
Reactions: PNC
Hizi lugha za chooni uwe unafanya kuziweka kando kidogo pale unapokuwa unaiongelea Arsenal ebo..

Haya umeona sasa three points zileee tayari na usiku huu man city anang'ang'aniwa anabaki pale pale
Apo man city mmemshikia tu nafas akee maana West brom anawatoa jasho na nko nyumba, bayern atawatoa damu kabisaa.
 
Wakuu wa Gunners natumaini mnakula sikukuu kama kawa ... .... .. . leo tulipambana na wapiga mieleka Emirates ... ... ..



Tony Pulis ... .. .. manager West Brom



Kabla ya kick off ... ..



Berrelin ... .. akifanya vitu vyake .. .. .



Ozil ..... ... kama kawaida yake ....



Francis Coquelin .... .



OG akiwapa heka heka ... ..... ..



OG ..... ..



Prof alikuwa katulia kwenye touch line .... .. .



Iwobi alijaribu bahati yake ... ..



Cech akipangua .. ...



Alexis kama kawa .. .... . .



OG akijaribu kufunga hapa ... .....



Second half Alexis kick hits the post .. ..... ..



Alexis wasn't happy .. .... ..



Jamaa wana fujo sana .. ..... ..



OG heads home for a winner despite the pushing and tagging ... ..



Ramsey celebrates ... .....



OG delighted .... ..





Next C. Palace .... .... London derby ... ....
 

Olivier Giroud celebrates scoring Arsenal’s winner against West Brom at the Emirates Stadium.
 
BREAKING NEWS!!!
Shirika La ndege nchini Uingereza limesimamisha safari za ndege zote angani kwa muda usiojulikana kutokana kutanda kwa vumbi hii ni baada ya mlinzi kufungua kwa bahati mbaya kabati La makombe la Asernal

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…