Zikiwa zimesalia dakika chache kabla ya kile kidumbwedumbwe kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu kati ya sisi π na L'pool. Mimi tayari nimeshakaa mkao wa kula. Ni mechi yenye umuhimu kwa timu zote mbili lakini Arsenal kutokana na poor performamnce waliyoonyesha katika mechi za karibuni inabidi wacheze soka la uhakika na kuibuka na ushindi. Arsenal 2 Liverpool 0 ha ha ha ha Mchongoma na Kana Kansingu Mpo!? Enjoy the game.
Arsenal leo naona hawasimamisimami kama katika mechi zilizopita. Wanachallenge kila possesion ya L'pool π
Kipindi cha pili ndiyo kinaanza.
Kuna kila sababu ya Arsenal kuappeal kadi nyekundu dhidi ya Adebayor ambayo hakustahili, au vinginevyo mechi inayofuata hataruhusiwa kucheza. Bad0 1 -1 dakika ya 89. Referee kaongeza dakika tatu.
Kwa mwendo huu ndio maana Benitez hajiamini kama wanaweza kuchukua epl season hii.