Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mashabiki wote wa soka tumekutana hapa JF tukibadilishana habari mbalimbali tunapongezana na kutaniana kuhusu timu tunazoshabikia ,now mmoja ya waasisi wa kijiwe chetu ambacho tunakutana hapa anashikiliwa na polisi.Tujitokeze kupaza sauti zetu kulaani huu unyanyasaji anaofanyiwa tusikae kimya kwenye hili tuendelee kupaza sauti kwenye mitandao yote ya kijamii(Facebook,Twitter,Instagram nk ) kulaani unyanyasaji huu.Tutumie hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Tupo pamoja kamanda.
 
Kwa miaka takriban 10 arsenal wamekuwa kama masikini anae kaa jirani na tajiri anaishia kushiba harufu ya biriani leo wamemaliza wa nne msimu ulopita 3 basi taabu tupu.
 
Ozil Ox

Iwobi ... ...

Granit OG

Gab .... ... .. Ospina

Kos Cech

Per Elneny

Baada ya cluttermburg kuwapa Everton goli la sadakarawe Prof ameamua
vijana Wa-chill out .... ...[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Wakuu wa Gunners mambo hadi hivi sasa yanaendelea katika hatua nzuri sana ya kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupambana katika mashindano yote. Msione Vi-mburukenge vinajazana humu vinafahamu muziki wetu .... ... Ding ... Dong. Vingine hata Ali Hamisi vinaona kwenye ooops vinaisikia kwenye luninga tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mara ya mwisho kufika final ya champions ni lini !? ....naona mpo bize tu kupanda ndege ! Bora hizo timu mngekuwa mnazialika emirate kucheza nao friend match na mkasave nauli
 
Mara ya mwisho kufika final ya champions ni lini !? ....naona mpo bize tu kupanda ndege ! Bora hizo timu mngekuwa mnazialika emirate kucheza nao friend match na mkasave nauli
Kuchumbia sana sio kuoa inawahusu sana majirani zetu hawa
 
Mara ya mwisho kufika final ya champions ni lini !? ....naona mpo bize tu kupanda ndege ! Bora hizo timu mngekuwa mnazialika emirate kucheza nao friend match na mkasave nauli
Wivu unakusumbua hulali wala kula kisa Gunners wanacheza mpira kuizidi timu yako ya vichochoroni khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Hao jamaa na hilo bata sijui kama tutachomoza kwa Mancity jpili.
 
Pamoja na ukungu uliokuwa umetanda Colney leo
wachezaji walikuwepo kujiandaa na mtanange
na Man City

[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Mbona pamepoa sana humu. Wacha 1 upo wapi. Mim jana tayri nimeokota point 3. Vip utachomoa kwa sity leo au mtagawana 1 moja
 
Mbona pamepoa sana humu. Wacha 1 upo wapi. Mim jana tayri nimeokota point 3. Vip utachomoa kwa sity leo au mtagawana 1 moja
Wacha kujipendekeza pendeza timu yako mbovu subiri majuto mjukuu khe ke kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mechi yetu saa kumi njoouone magoli tutakayomzibua nayo Pepsi ... .... . he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Its the season, an away win will do us good [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…