Yani Cech kwenye penalty ni mbovu hafai aisee, sijawahi kumuona akisev penalty. Kwenye moves ndio yupo vizuri.Dahh ila kipa wetu cech mzuri tu kwenye matukio ya move, ila kwenye penalty ni kimeo sana, tangu msimu huu uanze ye penalty anafungwa tu tena ata bora angekuwa anazifata bali anaamishwa kabisa, Kweny game za uefa huko mbele mambo yakitokea kukawa na upigaji wa penalty basi itabidi wenger amkumbuke ospina
Yaani katika Manure wote wewe ndio Jasiri wengine wote wanaona soni, timu yenu mdebwedo .... .... .... chichi tunachanja mbuga tu, endeleeni kucheza kila Ali Hamisi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna cha Nzi wala Belo et al wamebaki kuchungulia tu aibu!Hahahhaha swahiba sisi sote wamoja yaani mimi silali kila siku tarumbeta kwamba UEFA na EPL mnagonga zote........ ila mtani wanasema ukipata furahi ukikosa kijutie!!!.... kelele muhimuuuu
Usinikumbushe machungu
Hiyo ni welcome Peps kwenye EPL khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeLeicester wamepata mnyonge wao leo, wameamua kumalizia hasira kwake. MANC wasipokuwa makini leo wanaweza kuchezea kichapo cha mbwa mwizi 5-0
Mkuu rubaman always pessimistic about arsenal. Good things are on their way to the Emirates. Cheer up and pick up your confidence amigo. [HASHTAG]#HuuMwakaWetu[/HASHTAG]Verses Stoke City mmmh. Hii timu huwa inatuwekea ngumu na leo sina matumaini but let's go Arsenal
Hiyo ni welcome Peps kwenye EPL khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Prof lazima awapumnzishe mastaa players kwa sababu ya wingi wa mechi wakati ushindi ukiwa unaonekana ni wazi, huwezi kucheza tu bila kufikiri kesho. Le Prof is right most of the times ..... ..... .....Even me sijafurahia sanchenga kupumzishwa. Angemuacha atupie hata moja aongoze ubao wa wafungaji wa ligi.
Diego akitupia kesho atamuacha
Usisahau mwaka jana Leicester walibebwa sana walipata 12 penalties na ushee, leo wanacheza vizuri kwa timu kama Man City ambayo kocha wao Peps bado hajapata formula ya EPL. Kumbuka Leicester walichapwa 5 mtungi na Porto wakati wengi wanaocheza leo walipumnzishwa kungojea huu mtanange, wakati Man City walicheza full kikosi na Celtic kwenye CL.Huu ushindi kama utakuwa ushindi unaweza kuwaamsha hawa waliokuwa wamelala na kuwapa motivation ya hali ya juu hivyo kuwa tishio kubwa kati ya sasa na ngwe ya pili. Pamoja na kuwa wanacheza jirani na relegation zone lakini bado wana timu nzuri.
Prof lazima awapumnzishe mastaa players kwa sababu ya wingi wa mechi wakati ushindi ukiwa unaonekana ni wazi, huwezi kucheza tu bila kufikiri kesho. Le Prof is right most of the times ..... ..... .....
Usisahau mwaka jana Leicester walibebwa sana walipata 12 penalties na ushee, leo wanacheza vizuri kwa timu kama Man City ambayo kocha wao Peps bado hajapata formula ya EPL. Kumbuka Leicester walichapwa 5 mtungi na Porto wakati wengi wanaocheza leo walipumnzishwa kungojea huu mtanange, wakati Man City walicheza full kikosi na Celtic kwenye CL.
Mpira kitu cha ajabu sana....Leicester wamepata mnyonge wao leo, wameamua kumalizia hasira kwake. MANC wasipokuwa makini leo wanaweza kuchezea kichapo cha mbwa mwizi 5-0
You call pessimism I call cautious look, mkuu. Kumbuka nilipost kabla ya mechi na anything can happen mpira ukishaanza. Stoke City ni timu moja inayotupaga wakati mgumu, nadhani unalijua hilo. It's easy kuwa "in know " baada ya kushinda/kufungwaMkuu rubaman always pessimistic about arsenal. Good things are on their way to the Emirates. Cheer up and pick up your confidence amigo. [HASHTAG]#HuuMwakaWetu[/HASHTAG]