Hongereni kwa ku participate always...what do you have to show for it, fourthers!??Finishing 2nd, participating in this year UCL something Mourinho failed to achieve either last season koho koho koho koho koho
We naniArsenali leo mnapigwa na reading 5 bila
It was a joke you .......Hongereni kwa ku participate always...what do you have to show for it, fourthers!??
Mkuu usiwe na shaka Granit ni moto wa kuotea mbali (this is from me who has seen him live) ..... .... ... pengine unamsikia tu endelea hivyo hivyo Le prof ana vifaa vya kujivunia time will tell ... ..... ... Ding ...Dong.Sorry mkuu Wacha1 na washabiki wote wa Arsenal lakini mimi sijaona ubora wa Granit mpaka sasa. Yani tofauti na alivyokuwa hyped.
Mkuu usiwe na shaka Granit ni moto wa kuotea mbali (this is from me who has seen him live) ..... .... ... pengine unamsikia tu endelea hivyo hivyo Le prof ana vifaa vya kujivunia time will tell ... ..... ... Ding ...Dong.
BTW marejesho si bado kwnye Cowshed? Baada ya kile kipondo cha Emirates? Ooops hivi nyie hta Ali Hamisi hamchezi? Kh khe khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hahahah Belo ashakuambia heri FA kuliko FUTUHI.
1715wadau mechi saa ngapi leo?
17:05 pmwadau mechi saa ngapi leo?
TunashindaLine up ya leo hainipi confidence..