Mwaka huu Arsenal wanaweza kumaliza on top of table (UCL) na bado wakakutana na kigongo katika last 16 e.g Bayern Munich or Real Madrid ambao wapo nafasi ya pili katika magroup yao.
Msimu huu Ku-win group au kumaliza second ni sawa sawa. Tunaweza kuishia kucheza na top/hard team katika round ya 16. Bayern Munich watamaliza at the second spot, Dortmund au R. Madrid mmoja wao ataishia at the second spot na bado kuna timu kama Juve na Sevilla ambao mmoja wao pia atamaliza at the second spot.
Ila kutofungwa mechi ya leo ni muhimu kisaikolojia zaidi.