Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika inakwenda ya 60 goli ni 1-1

Bado kuna nafasi ya kupata goli la ushindi.
 
Alex Iwoooobii no nje!

Bado ni 1-1

Kona ingine!

Inatoka
 
Aaron Ramsey anajiandaa kuingia possibly kuchukua nafasi ya Alex Iwobi.

No anachukua nafasi ya Francis Coquelin na hiyo ni tahadhari kwani Spurs wanaweza kuanza kumlenga Coquelin ili apate kadi.

Good move.
 
Not good sub for me. Ningemtoa Iwobi na kumuingiza OG au Ramsey
 
Dakika ya 70

Olivier Giroud anaingia badala ya Alex Iwobi

OX kwa Walcott
 
Sina matumaini na ushindi or draw sasa. Hizi sub zetu sioni goli na defending nzuri
 
Spurs wanamtoa Harry ken na Vincent Janssen anaingia.
 
Arsenal wamebadilisha mtindo Sanchez kushoto, OX kulia na Ozil kama mshambuliaji wa pili nyuma ya OG.

Plan B executed.
 
Spurs wanacheza mtindo wa 5-2-3 na Arsenal wanashindwa kuvunja backline yao ikiongozwa na Victor Wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…