Simlaumu Wimmer!Mechi ya kwanza msimu huu halafu unapewa Sanchez na Walcott ukimbizane nao!Zile speed na movements zao kama vipanya vile,mara huyu kapita huku na yule katokea kule,ni kizunguzungu hadi unasahau goli lako liko upande gani na kama mnakaba au mnashambulia!