Kusema kweli alichokifanya mesut ozil ile jana was completely unnecessary and a very risky decision. Ukiangalia kwa umakini unaona kwamba ozil alikuwa ana uwezo wa kufunga pindi tu alipofanikiwa kuwachomoka mabeki huku golikipa akiwa ashachomoka golini. (Cheki stage 2 za picha alizotuma kashengo). Naongea hivi nikimaanisha kuwa kama ingetokea ozil akawa dispossessed ule mpira au akawa disturbed to the extent kwamba akashindwa ku-score basi leo hii mashabiki wa arsenal wangekuwa wako bize kumtukana ozil kwa kukosa umakini na kuikosesha timu ushindi muhimu. (Ni maoni tu). Otherwise: What a beauty from Ozil!!!