Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aiseee!!!! Nimefurahi sana kukuona usipotee hivyo tena bana!!......

Wacha 1 siku ingine usikimbie namna hiyo mkuu.

Mkuu Everlink alikuwa kakosa raha kabisa lakini nikawaahidi kukutafuta.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Team news

Arsenal



Reading FC:

Al-Habsi (c), Watson, Obita, L.Moore, Blackett, Kelly, Van den Berg, Evans, McCleary, Harriott, na Samuel.

Wachezji wa akiba: S.Moore, Swift, Wieser, Kermorgant, Meite, Quinn, na Gravenberch.
 
Wakuu game limekuwa kama la Middlesbrough na Arsenal wananyiwa nafasi ya kucheza.

MBINU

Reading wanacheza mtindo wa 3-4-3 na wanacheza mtindo wa kujihami.

Dakika inakwenda ya 12

Magoli 0-0
 
Reactions: BAK
Wakuu game limekuwa kama la Middlesbrough na Arsenal wananyiwa nafasi ya kucheza.

Reading wanacheza mtindo wa 3-4-3 na wanacheza mtindo wa kujihami.

Dakika inakwenda ya 12

Magoli 0-0

Tv yako ipo nyuma.. Arsenal 1-0 Reading
 
Reactions: BAK
Ila wanajitahidi.

Kuna mechi zingine Arsenal inawapasa kuzimaliza kabla ya mapumziko.



OX akifunga goli la kwanza akiangaliwa na beki wa Reading Tyler Blackett.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…