Poyeeeee jamani lakini bora nusu Shari kuliko Shari Kamili. ..... kesho natoka na ushindi wangu sina wasiwasi tumejipanga vizuri tu,vitimu vidogo nomaaaa sana ila nimesikitika hamjatenda fair kny birthday ya baby.....Leo siyo nyie tu si unaona Hata Hotspurs na Everton.
Baada ya matokeo yetu leo, nachotaka ni draw kati ya Chelsea na Man Utd kesho. On the second thought hata mmoja wao akifungwa inaweza isiwe mbaya sana kwetu. Ligi bado mbichi. Naona Loserpoop wako mbioni kushika usukani wa ligi hadi kesho.

unataka waogope mara ngapi na tushawadonoa... si walitaka kututushia risasi zao kumbe za Maji tena maji ya Nuwa yalikatika. wale Boro waliwawekea Bus la Manure yule jamaa na Morinho si marafiki.
Pazi, jamaa waliazima bus la zamani la Mourinho . Malafyale leo kidogo ugali uliwe kwa picha ya samaki. Anyway bora hatujafungwa, tukija bwawani tutayazamisha majogoo
Hawa Southampton wametufanyia favour kubwa leo. Imagine kama tungeshinda jana katika mchezo ambao tulistahili kushinda. Tungekuwa kileleni kwa 2 points.