Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mpira huu 11/19/2016 lazima tuuwe gamutuz na kunyamazisha jiji DonDonald, majogoo walituotea tukiwa na majeruhi na pungufu siku ya kwanza ya ligi lakini wakiingiza mguu muda kama huu habari itakuwa ni kuwapeleka ICU kabla ya ER Pazi, Malafyale
Wewe utamfunga Man City
Chelsea na Man U mkijitahidi sana re
Uliwaona Man U wameweka kabisa Ikarusi Kumbakumba golini?
 
Kumbe Nifah we ni gunner, safi sana, usihofu maana tuko on fireeee!!
Hadi nimejisikia aibu!Ninavyoipenda Arsenal huwa natamani dunia nzima ijue mimi ni Gunner.
Dah!
Yes yes...
Fireeeeeee
 
Hadi nimejisikia aibu!Ninavyoipenda Arsenal huwa natamani dunia nzima ijue mimi ni Gunner.
Dah!
Yes yes...
Fireeeeeee
Unapendaje vibonde baskeli ya barafuu
timu mbovu kuliko zote uwingereza ni aseno ..nafas ake kila mwaka inajulikana ni ya nne
 


Arsenal ikienda Sofia inatakiwa kuwamaliza kabisa hawa jamaa ili kuwa na uhakika wa kuongoza kundi hili kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi.

Ila mechi na PSG hapo tarehe 23 November ndiyo itaamua.
asee hakuna timu nalichukia kama hili mnaloshabikiaa ...timu mbovuuuuu...
Ni kweli kuna Iwobi, Perez na Elneny wanaweza kuingia badala ya Sanchez, Walcott na Ozil.
wore hao mbwembwe tu ..wanavuma baada ya bech mbili wanapoteaa
Arsenal 3-0 Wao heeee heeee.
mmekutana na vibondee Conte atawanyoosha wee ngoja tuu
 
Leo hali inaweza kubadilika. Hawa 'boro wapo vizuri sana leo.
 
Middlesbrough wanacheza kwa kujihami lakini dawa yao ipo inachemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…