UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Lakin bado kuna possiblity kubwa labda kama hujaangalia wapinzani wetu ambao wanaonekana kua tishioNi kweli kabisa December na January ndiyo miezi mibaya sana kwa majeruhi kwetu. Tukivuka miezi hiyo tuko salama bila majeruhi ya key players na tuko katika nafasi ya kwanza au ya pili kwenye table basi lolote linaweza kutokea.
Ila kwa forward inapaswa 9 ichezwe na Lucas tactical ili Sanchez acheza winger ya kushoto ili azoee mapema kiungo sina Shaka napo pako vizuriTumekua bold from behind kiungo saf naweza sema kama winning mentality itaongezeka
Lakin bado kuna possiblity kubwa labda kama hujaangalia wapinzani wetu ambao wanaonekana kua tishio
Chelse sio timu ya kuofia insuch, sio sabbu tumewafunga nope ila kuna makocha ambao wanaweza kuwapa wachezaji winning mentality kama klopp na sio guadiola au conte wala mourinho sababu hawanaga plan, nikimzungumzia klopp uwa anambinu sana yule jamaa namuofia hapo tu,Jana niliangalia mechi yote ya Chelsea WANATISHA kama wakiweza kucheza kama jana basi ni moto wa kuotea mbali. Spurs nao wanatisha lakini sikuwaangalia jana maana mechi yao na ile ya Arsenal zilikuwa wakati mmoja hivyo nikaamua kuangalia mechi yetu ila hawa nao wana confidence ya hali ya juu na wanajituma sana wanapokuwa uwanjani. MANU hawa bado wanasuasua naona Mourinho bado hajatulia pale.
Guardiola, Conte na Jose hawanaga plan!!?? Umeanza kufatilia mpira msimu huu wa 2016-17 nini, ?Chelse sio timu ya kuofia insuch, sio sabbu tumewafunga nope ila kuna makocha ambao wanaweza kuwapa wachezaji winning mentality kama klopp na sio guadiola au conte wala mourinho sababu hawanaga plan, nikimzungumzia klopp uwa anambinu sana yule jamaa namuofia hapo tu,
Kwa spurs ni kibarua lakini nimefurahi kuona tumepenya kwa team kama chelsea na swansea japo kibishi lakini inaonesha wazi kua tuna mwanga flani, pia kama uliangalia ile game na liverpool tulipoteana lakini tukarudi mchezoni haraka.
Kama umeangalia vizuri arsenal wananafasi kubwa sana ya kufanya vizuri sababu tuna back up ya kutosha na kuna winning mentalit flani ipo japo bado kahali flani kakulizika kapo.
Emb niambie miurinho ana plan gan tofauti na kupaki basi??Guardiola, Conte na Jose hawanaga plan!!?? Umeanza kufatilia mpira msimu huu wa 2016-17 nini, ?
Sanchez pale pale safiIla kwa forward inapaswa 9 ichezwe na Lucas tactical ili Sanchez acheza winger ya kushoto ili azoee mapema kiungo sina Shaka napo pako vizuri
Acha uchokoziMmepoa kama leo hamchezi jamani.....au mnajua mechi yenu haina mvuto kama ya Barca na Man City.
Serious??Mmepoa kama leo hamchezi jamani.....au mnajua mechi yenu haina mvuto kama ya Barca na Man City.