Duh, alifunga kwa mkono, kichwa au mguu?
Aisee! FA wafanye retrospect ya mabao pia. Burley kama Hull alibania siku ya Man. United mwishoni aliinamisha kichwa mwendawazimu akanyoa. Leo Burnley walisema hawatonyoa nywele, naona dakika za majeruhi, wameinamisha kichwa na Arsenane amewanyoa. Atakayefuata ajiandae Burnley atamalizia hasira siku hiyo. Lazima amuunguze mzururaji.
Leo mhhhhh[emoji40] [emoji40] ......
Leo umekuwa mkweli yaani ungekuwa karibu ningekupa kitu kizuriiiiiiiiii!!!!!...... haya wanasema win is a win[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Alifunga kwa mkono Mkuu, hakuna sababu ya kupindisha ukweli Mkuu.
Hahahhaha kwa goli la mkono[emoji41] [emoji41] ...... baada ya kunichamba ndo wanifariji eehhhh.....haya bana!!!Uko moyoni mwangu kwa muda mrefu twende Mombasa tukawaone Kiba,Whizkid na Breezy tafadhali kila kitu juu yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho nawahi job mapema sana w'end murua.
Leo umekuwa mkweli yaani ungekuwa karibu ningekupa kitu kizuriiiiiiiiii!!!!!...... haya wanasema win is a win[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Sawa mimi sisemi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] .......Tunapeta juu yako we URIE tu huku umejifunga diaper puani.
Niko tayari kukifuata popote ulipo hicho kitu kizuri kasoro Syria tu kule mabomu yanavyoanguka kunatisha sana Khe kheeeee kheeeee....lakini hebu kuwa mkweli tulistahili kupata penalty au la? Kandanda tulilocheza hatukustahili kupata ushindi? 😉😉😉
Mhhhh !!! sema ni makosa tu ya kimechezo kawaida uwanjani hata refa naye ni binadamu lakini siyo kwa sababu hizo.....
Haters wanasema kuna makosa mawili offside na handball.
Madai yote hayana msingi kwani hata kama Koscielyn asingeguswa na mpira bado mpira huo ulikuwa ukienda kimiani baada ya kuguswa na Alex-Oxlade Chamberlain.
Mwamuzi kaona mpira umemgusa Koscielyn na sio Boss kaugusa mpira kwa makusudi.
Mkuu Mwanakijiji ana mada hapa inafafanua hili la mpira kugusa mkono.
Leo umekuwa mkweli yaani ungekuwa karibu ningekupa kitu kizuriiiiiiiiii!!!!!...... haya wanasema win is a win[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hahahahha njooo huku.... mlistahili pia hata Burnely alistahili ila ndo hivyo mwisho wa siku lazima mmoja awe mshindi hongereni kuna vijimakosa tu fulani mkirekebisha mtatisha sana ila tatizo ndo limekuwa kama ugonjwa wenu[emoji3] [emoji134]Niko tayari kukifuata popote ulipo hicho kitu kizuri kasoro Syria tu kule mabomu yanavyoanguka kunatisha sana Khe kheeeee kheeeee....lakini hebu kuwa mkweli tulistahili kupata penalty au la? Kandanda tulilocheza hatukustahili kupata ushindi? 😉😉😉
Sawa mimi sisemi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] .......
Mhhhh !!! sema ni makosa tu ya kimechezo kawaida uwanjani hata refa naye ni binadamu lakini siyo kwa sababu hizo.....
Huyo Boss alikuwa amelala kabisa kulingana na picha uliyoweka. Si amefunga macho yake hapo ili asiuone mpira!!??. Mpira ndio ulitafuta shari na ugomvi, hapo Boss wako hana hatia. Ilikuwa hakuna namna, lazima ajitetee dhidi ya mpira.
Haters wanasema kuna makosa mawili offside na handball.
Madai yote hayana msingi kwani hata kama Koscielyn asingeguswa na mpira bado mpira huo ulikuwa ukienda kimiani baada ya kuguswa na Alex-Oxlade Chamberlain.
Mwamuzi kaona mpira umemgusa Koscielyn na sio Boss kaugusa mpira kwa makusudi.
Mkuu Mwanakijiji ana mada hapa inafafanua hili la mpira kugusa mkono.
Acha tu kama vile nyie mlivyonivuruga yaani nilikuwa nishafunga mahesabu nije nifanye fujo humu Mara kitu kimesomeka nilivurugwaaaaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole na kushikwa shati nyumbani mapema leo. Niliacha kuangalia kwenye nikijua mmeshashinda kuja kuangalia matokeo naona 1-1 dah! Kweli kandanda ni dakika 90.
Hahahahha njooo huku.... mlistahili pia hata Burnely alistahili ila ndo hivyo mwisho wa siku lazima mmoja awe mshindi hongereni kuna vijimakosa tu fulani mkirekebisha mtatisha sana ila tatizo ndo limekuwa kama ugonjwa wenu[emoji3] [emoji134]
Huyo Boss alikuwa amelala kabisa kulingana na picha uliyoweka. Si amefunga macho yake hapo ili asiuone mpira!!??. Mpira ndio ulitafuta shari na ugomvi, hapo Boss wako hana hatia. Ilikuwa hakuna namna, lazima ajitetee dhidi ya mpira.
Offside? Haikuwa offside bana. Nilichora msitari na sikuona hiyo offside. LOL. Babu Wenger afurahi tu leo kwa miaka 20 ya kutibu wangonjwa wa moyo na pressure. Ng'ong'o amerudi kwa Babu au amekacha bado?
Tottenham aendelee kuwa pale juu, ndio ligi itanoga kwa Arsenal.
Acha tu kama vile nyie mlivyonivuruga yaani nilikuwa nishafunga mahesabu nije nifanye fujo humu Mara kitu kimesomeka nilivurugwaaaaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi umekuwa mfuasi wa Wenger?Huyo Boss alikuwa amelala kabisa kulingana na picha uliyoweka. Si amefunga macho yake hapo ili asiuone mpira!!??. Mpira ndio ulitafuta shari na ugomvi, hapo Boss wako hana hatia. Ilikuwa hakuna namna, lazima ajitetee dhidi ya mpira.
Offside? Haikuwa offside bana. Nilichora msitari na sikuona hiyo offside. LOL. Babu Wenger afurahi tu leo kwa miaka 20 ya kutibu wangonjwa wa moyo na pressure. Ng'ong'o amerudi kwa Babu au amekacha bado?
Tottenham aendelee kuwa pale juu, ndio ligi itanoga kwa Arsenal.
Hamna kuchukiwa Hilo ndo soka bana kutambishiana kukejeliana alimradi siku inaenda soka linanoga ,kuna timu ina haters wengi kama Man U ?.......nyie shida yenu tu mmekuwa kivutio kwenye dunia miaka mingi bila kombe la EPL wala UEFA mkizingatia mnafanya vizuri sana..... ila naamini ipo siku yenu tu nanyi mtabarikiwa..[emoji3] [emoji3] [emoji3] ....keeping on trying one day Yes !!!!Ilikuwa ni lazima tuwakaribie Man City na Spurs kwa points leo.
Ila yaliyoandikwa leo kwenye magazeti, ndiyo utafahamu ni jinsi gani Arsenal inachukiwa.