Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu naomba mnijuze magoli ya gunners yametiwa wavuni na wachezaji gani pia na walioassist
 
Mkuu Balantanda, official confirmation itakuwa jumatatu au jumanne.
 
Mkuu Balantanda, official confirmation itakuwa jumatatu au jumanne.
Safi sana...Kauli hiyo ya AW akihojiwa na Media baada ya mechi ya leo ni uthibitisho kwamba tayari Mustafi na Perez ni new guns...

Hope ataongeza mwingine kabla ya dirisha kufungwa...

Together We Stand...
 
Watford 1 Arsenal 3

Hii game ilikwshamalizwa kipindi cha kwanza na mashambulizi ambayo tunawezasema ni "devastating" na yalikuwa yakianzishwa na mabeki wa Arsenal Hector Bellerin na Nacho Monreal.


Santiago Cazorla akifunga goli la kwanza kwa njia ya penalty


Sanchez akifurahia goli la pili.


Mesut Ozil akikimbia kufurahia goli la tatu alilolifunga kwenye dakika ya 45 na nyongeza kipindi cha kwanza.


Granit Xhaka akimdhibiti Troy Deeney mshmbuliaji wa Watford.

Mechi ijayo ni baada ya mapumziko ya wiki mbili kupisha mechi za kimataifa na itakuwa ni sept 10 tutakapowakaribisha Southampton uwanjani Emirates.

Baada ya hapo Arsenal wataelekea jijini Paris kuanza kampeni ya champions league kwa kukabiliana na PSG siku ya jumatano tarehe 13 Sept.

COYGs!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…