UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Uwa anasubir dakika za mwishoLacazette ni mmaliziaji mzuri tu lakini Mahrez nae ni mtafutaji na pia mfungaji magoli yaani attacking midfielder.
Lyon huku wakifahamu desperation ya Arsene Wenger, hatari yake ni kwamba wanaweza kupandisha dau kwa kuona jinsi Napoli walivyozuia Euro 73 kwa Higuain.
Tatizo la Wenger siku zote ni kukaa na kusubiri, sifahamu huwa anasubiri nini.
Haita kaa itokeeEbana msimu huu competition itakuwa fiercely, tukimaliza ndani ya top 4 nitazidi kumuheshimu Wenger. Fikiria misimu mitatu iliyopita tumeona baadhi ya vitimu vinavyojiita bora vimekosa UCL miaka kadhaa...
Unaweza kuwa na bidhaa isiyouzika. Huyu hata jirani wenye shida hawamuulizii kumtumia kwa mkopo. Tusubiri kandarasi yake iishe ataondoka Huru kama mizigo mingine.calum chambers AW inabid amuuz uyu mtoto mana anajaza vitabu tu pale!!
Nataman Giroud afe
Kwahyo reference yako ni utd inayocheza europa???
Usimu_underrate sana Giroud kiasi hiko. Tuliweza kusema kuwa Arsene Wenger alikuwa anampendelea ila chakushangaza NT kaachwa Benzema kabebwa yeye!
Anakitu Tofauti fulani hivi, ambacho hakionekani ki urahisi kwa jicho la kiushabiki.
Hebu jiulize wewe unayesema Jamaa hafai, ni mchezaji gani wa United amefunga magoli mengi last season zaidi ya OG.?
Bro wenger awezi peleka 40 Leicester city never, izo atapeleka pale Madrid, Barcelona au Bayern ila sio Leicester city usipoteze mda wako na hiyo taarifa.
Na yule mlinzi wa kulia!calum chambers AW inabid amuuz uyu mtoto mana anajaza vitabu tu pale!!
Kwahyo reference yako ni utd inayocheza europa???
Akili zako hazina tofauti na za venger
Nitafutie Chelsea au Liverpool hapo
Usimu_underrate sana Giroud kiasi hiko. Tuliweza kusema kuwa Arsene Wenger alikuwa anampendelea ila chakushangaza NT kaachwa Benzema kabebwa yeye!
Anakitu Tofauti fulani hivi, ambacho hakionekani ki urahisi kwa jicho la kiushabiki.
Hebu jiulize wewe unayesema Jamaa hafai, ni mchezaji gani wa United amefunga magoli mengi last season zaidi ya OG.?
Nimezungumzia perfomance ya OG katika Ligi... Kulinganisha na washambulia wa timu nyingine maarufu kama Utd, Chelsea na LIVERPOOL.
Sijui wewe unazungumzia nn?
Anakuja wap...toa ufafanuz zaid...anakuja chelsea lada sio asernal...kazi kubagain tu...Mahrez yuleeeeeeeeeeee anakuja taratibu
Mahrez ni arsenal msibisheAnakuja wap...toa ufafanuz zaid...anakuja chelsea lada sio asernal...kazi kubagain tu...
Huyo wenger ni ****** barid tena shoga LA Guantanamo hawez tuletea usenge kama huu miaka nenda rudii whufc wamepeleka £35 wamekataliwa Kwahiyo yeye anajikuta mentali Yani very stupid huyu mzee Af anaupdate kua ataspend big this summer very stupid