Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Endeleeni kuendekeza tetesi za arsenal misongo ya mawazo haitawaisha kamwe.

Mimi nimeshindwa kupambana nao sasa kambi yangu ya #WengerOut nimeivunja nimejiunga ya #InAWweTrust

Unapokuwa mpenzi wa Arsenal unatakiwa uwe tayari kutoyumbishwa.

COYGs!!!
 
Endeleeni kuendekeza tetesi za arsenal misongo ya mawazo haitawaisha kamwe.

Mimi nimeshindwa kupambana nao sasa kambi yangu ya #WengerOut nimeivunja nimejiunga ya #InAWweTrust
 
Arsenal leo wakipiga mazoezi laini kabla ya kupambana na Lens.


Serge Gnabry akijaribu kumtoka Francis Coquelin. Mzee Wenger akiangalia kwa makini.


Mohamed Elneny yupo fit.


Calum Chambers


Arsene Wenger na Kocha msaidizi Steve Bould wakifuatilia mazoezi.


Vijana wakimsikiliza mzee Wenger.


Viungo wa Mohamed Eneny na Gideon Zelalem wakiwa kwenye mazoezi.


Vijana Chuba Akpong na Francis Coquelin wakijiandaa na mtanange.


Kipa wa tatu wa Arsenal |Emiliano Martinez.






Theo Walcott yupo.


Per Mertesacker akijikumbusha mfumo wa ulinzi.


Alex Oxlade Chamberlain


Jeff Reine Adelaide

Chanzo cha picha: Arsenal.com
 

Rob Holding akiwa nje ya jengo la mazoezi lililopo London Colney.

Chanzo cha picha Arsenal FC

Arsenal leo wametangaza rasmi kumsajili beki wa kati Rob Holding kutoka Bolton Wanderers.

Kama ilivyo kawaida Arsenal huwa hawatangazi ada ya uhamisho.

Karibu Arsenal Rob Holding.

Nimemuelezea vizuri Rob Holding katika post yangu namba 48392
 
Daaah ikifikaga transfer period ndio naonaga vituko Uku Ireland kumbe arsenal tuko wengi usidanganywe
 
Kuna dogo wanamuita Gabriel Jesus mbrazil mbna Yuko safi Sana yule
 
Na umri pia ana miaka 19.

Uchezaji wake unashabihiana na Naymer.

Barcelona na Bayern Munich nao wanaangalia kwenye soko.
Sema Wanadai weakness yake ni umakini lakini nineanagalia clip Zake nikaona akitua kwa wenger atatulia
 
BREAKING NEWS: Alexandre Lacazette anakata kuondoka Lyon kwenda Arsenal.


Mshambuliaji wa timu ya Lyon ya France Alexandre Lacazette ameutaarifu uongozi wa timu hiyo kwamba anataka kwenda Arsenal.

Arsenal waliulizia kuhusu mchezaji huyu wakati wa michuano ya Euro 2016 na wakaambiwa zinahitajika kama pauni milioni 22 hivi.

Habari zaidi kufuata.
 
Lacazette ni fighter mzuri kwa ubutu wetu pale mbele sio Siri aende tu itakua safi sana
 
Arsene Wenger kama akiamua kufuja tu pesa na kuvunja benki Arsenal itakuwa tishio kwa hii lineup.

 
Arsene Wenger kama akiamua kufuja tu pesa na kuvunja benki Arsenal itakuwa tishio kwa hii lineup.

Manolas Is not For sale mpaka ufikie £45mil waliyoweka AS ROMA, Riyad Mahrez nae ni £45mil

Sio rahisi Kutoa hizo Pesa kutoka Arsenal Board

Higuain Deal lake ni Impossible kwa umri wake na Value ni Crazy ukizingatia ana mwaka mmoja Katika mkataba

Release ya £97mil ni UCHIZI mtupu.

Napoli ni mawili wamuuze China wapige pesa au wabaki nae mkataba Uishe mwakani aondoke Bure

Maana Rais wa Napoli ni Mwehu Alidai Atletico walibid €60mil + Wachezaji wawili na Alikataa

Na watauza China inakoelekea Unless Hguain abadiri maamuzi aongeze Mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…