Hii ni kusema babu yenu, Mzee Wenger ndio amemaliza usajili?Usajili Updates: Arsenal leo inakamilisha usajili wa beki mwingine mkoba Robert Holding kutoka timu ya Bolton Wanderers...........
5. Hii ni ya kuchekesha kidogo, Rob anajua kubana matumizi kwani alipokwenda Thailand kwa likizo aliweza kupanga kwenye hoteli ya bei nafuu kabisa ya paundi 5 kwa usiku mmoja na hiyo pia imemfurahisha mzee Arsene Wenger ambae ni muangalifu sana na masuala ya matumizi ya pesa.
Rob Holding. Karibu Arsenal Rob na unakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa kimyakimya na Arsenal baada ya Granit Xhaka na Takuma Asano.
Hebu tuwache na Arsenal yetu. Nenda kadeal na matatizo ya nyumbani kwako kukitulia ndo uje utushauri au utusaidie.Hii ni kusema babu yenu, Mzee Wenger ndio amemaliza usajili?
Waliondoka watatu na amesajili watatu?
Huyo mjapani mna mpango wa kumbadilisha jina au ndio litabaki hilohilo?
Naomba unitajie jina la timu yangu. Nikumbushe nimelisahau.Hebu tuwache na Arsenal yetu. Nenda kadeal na matatizo ya nyumbani kwako kukitulia ndo uje utushauri au utusaidie.
Sisi tuna furaha tele na team yetu.
Soon mtaanza kutafuta mwalimu mwingine asipofikia malengo yenu ambayo dhahiri atashindwa.
Tulia kwenu ya Arsenal tuachie wenyewe.
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Hii ni kusema babu yenu, Mzee Wenger ndio amemaliza usajili?
Waliondoka watatu na amesajili watatu?
Huyo mjapani mna mpango wa kumbadilisha jina au ndio litabaki hilohilo?
Usajili Updates:
Mauro Icardi
Arsena usiku huu wameweka mezani pauni milioni 41 ili kupata saini ya Icardi ambae ni mshambuliaji wa Inter Milan ya Italy.
Klabu ya Inter wanasita kumuachia mshambuliaji huyo lakini pesa hiyo ni ndefu kabisa kuwashawishi kumuachia Icardi aende Emirates.
Ilichobakia ni kusubiri majibu ya Inter.
Icardi kwa sasa anapata mshahara wa euro 61000 na ikiwa atakubali mkataba wa Arsenal, ataongzewa kiasi cha euro 96000.
Mshambuliaji huyo wa Inter raia wa Argentina ana umri wa miaka 23 msimu uliopita amechezea timu hiyo ya San Siro na kufunga magoli 16 katika mechi 33 na kuisaidia Inter kushika nafasi ya nne kwenye ligi ya Serie A.
Mshambuliaji wa zamani wa Man Utd Javier Hernandez ni option ingine ambapo anataka kurudi Uingereza kucheza PL.
Habari zaidi kufuatia.
Hakuna Ukweli Richard katika hii habari......
Nakupa ushauri mmoja habari kama haipo Skysports au BBC kama habari rasmi na sio gossip husiiamini
Tabloids za kiingereza na Agents wameshajua Arsenal wako desperate kupata Striker wanazusha habari kama hawana akili nzuri hehehehehehe......
mke wa Icardi ambaye ni wakala wake hii ruma kaitengeneza inter wamwongezee mkataba mumewe hakuna jipya Arsenal mchezaji ambaye "FORMALLY" wame inquire ni HIGUAIN ila paundi millon 80 wenger hatokaa atoe tena mbaya zaidi jamaa ana miaka 29
kuna uwezekano mkubwa kusajili siku ya deadline day ikiwa atapata "BARGAIN"
Richard Icard Haji Arsenal na Hakuna Bid yeyote ile iliyowekwa ni "Rumours"Hapana, Skysports na BBC wanakuwa wanapata habari kutoka vyanzo mbalimbali hususan walio ndani.
Tabloids na magazeti nao wana vyanzo lakini vyanzo hivi havina "inside info" kama Skysports na BBC
Mimi nipo kwenye scouting network hivyo data zinaweza kupita tu kwenye transfer system na kupotea.
Kwa mfano kwenye mfumo huo wa uhamisho unaweza kuona timu ya Arsenal imeweka "interest" halafu "enquiry" na baadae "bid" au "offer"
Mara nyingi Arsenal wanakuwa wamekubaliana ada ya uhamisho ya mchezaji lakini hiyo haimaanishi kwamba ndio kila kitu kimemalizwa, kuna suala la "personal terms"
Mfano wa Arsenal kushindwa kukubaliana personal terms ni wa Jamie Vardy ambae alikaa akifikiria na baadae kukubali maboresho ya mkataba wake na timu yake ya Leicester.
Hivyo mimi nikileta tips au hints nnakuwa pia nafahamu kuhusu mchezaji mwenyewe maana unaweza kushinda unamchunguza mchezaji huyo kwenye "scouting process" ndio maana nakuwa namuelezea kidogo.
Ila ukifuatulia historia ya baadhi ya habari ya ya usajili wa Cazorla, Ozil na Danny Welbeck nilileta dondoo kama hii ya Icardi.
Richard Icard Haji Arsenal na Hakuna Bid yeyote ile iliyowekwa ni "Rumours"
Sikia anachosema IVAN GAZIDIS jana akihojiwa na ESPN
"Leicester identified players from the French second division, so maybe there’s talent that we’ve been overlooking. They did their talent identification well, they had great unity within the group, as well as quality. It wasn’t built on money. It was built on the great fitness work they did. It was built on all of these other elements. I think that’s going to be a continuing trend within the Premier League...."
He further said
" We’re making progress in what is a fiercely competitive world, against competitors that have the capability to spend far more money than we do. We’re doing it by being very, very disciplined; spending money where we believe it makes a difference, but also giving young players a chance and believing in ourselves and our values"
Source: Ivan Gazidis lays groundwork for another timid summer - Arseblog ... an Arsenal blog Ivan Gazidis lays groundwork for another timid summer - Arseblog ... an Arsenal blog
MY TAKE: Hakuna Big signing What ever wacheni kujipa Moyo na Rumuors ambazo ni wastage of Time
Bora hakuja nadhani hana tofauti na TakumaOk Mkuu sisi tunaendelea kufuatilia targets za Arsenal.
Huyo Gazidis huwa anamtetea Arsene Wenger kila mara kjwa sababu yeye ndie huidhinisha fedha kama Wenger anakubaliana au la.
Unafahamu kwamba pia Arsenal walitoa offer ya milioni 22 paundi kwa mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Clinton N'jie na offer hiyo ikakataliwa?
Huyu mchezaji hajawahi kuchezea Tottenham lakini ni mshambuliaji ambe angefaa hasa kwa kuzingatia umri wake.
Mwaka jana Clinton alikataa kwenda Arsenal kutoka Lyon na badala yake akaenda Tottenham.
Sasa baada ya Arsenal kuona Tottenham wamemsajili dogo mwingine anaitwa N'koudou wakadhani wanaweza kuwashawishi Tottenham kumruhusu N'jie lakini Spurs wamekataa na wamempeleka N'jie Marseille kwa mkopo.
Mshambuliaji wa Tottenham Clinton N'jie alikuwa asajiliwe na Arsenal wiki hii.
Mimi nakuletea mambo yanayoendelea behind the scenes.
Bora hakuja nadhani hana tofauti na Takuma
Napataje ule uzi wanaovaa training pale London colney
Wenger ndio kaifikisha arsenal pale ilipo football is just a game not only a game is an art of playing ball while enjoying..Endeleeni kuendekeza tetesi za arsenal misongo ya mawazo haitawaisha kamwe.
Mimi nimeshindwa kupambana nao sasa kambi yangu ya #WengerOut nimeivunja nimejiunga ya #InAWweTrust