What are we smoking. Ile ilikiwa dharau. Kwa kiwango cha Suarez ilitakiwa tuweke 45 au 50 kisha tuwaombe Liverpool kuongea nao. We unaweka 40 plus Senti moja kisha unataka deal itokee kwa sababu ume activate release clause. Ule ulikuwa ushuzi tunavuta na sio vinginevyo.Usajiri wa Suarez haukufanikiwa Liverpool walikataa kuuza.baada ya ku activate release clause ilitakiwa biashara ifanyike
Kwa sasa Mzee aangalie mshambuliaji kijana wa kutusaidia kutafuta ubinhwa wa epl
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Labda zimepungua, ndiomaana ameziongeza.huu sasa utani kutusajilia taKUMA sisi za nini ameambiwa tunashida nazo? zipo kibao mtaani uku bei chee uyu mzee uyu khaaaa
Huyu janki atatusaidia sana Ana viashiria vingi sana vya kufanya vizuri let's wait and see karibu sana the jaguarTakuma..!!! Karibu
We utakuwa taahira kama wenger! Umeshaoma statistic zake au unaropoka tu? Chicharito kule anapatikana kwa bei ya bure unatutajia hapa ****..Huyu janki atatusaidia sana Ana viashiria vingi sana vya kufanya vizuri let's wait and see karibu sana the jaguar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]That reply.........[emoji23] [emoji23]