Jamaa ni Same to Olivier Giroud..Style mojaAZ alkmar wametoa statement ya kukataa offer mbili za spurs, anko wenger anatakiwa achangamkie hii fursa.
Jamaa ni Same to Olivier Giroud..Style mojaAZ alkmar wametoa statement ya kukataa offer mbili za spurs, anko wenger anatakiwa achangamkie hii fursa.
Huoni hapo juu mnamtaka reus, Alaba, kante, na lukakuChams la ukweli..Msimu ijayo sijui utakuaje naona timu nyingi zinajipanga
Wenger huwa anatakaga tu wachezaji mwisho wa siku timu nyingine zinawachukua. Mzee mbahili hatariHuoni hapo juu mnamtaka reus, Alaba, kante, na lukaku
Shiiiii............. Anko bado anajenga uwanjaWenger huwa anatakaga tu wachezaji mwisho wa siku timu nyingine zinawachukua. Mzee mbahili hatari
Huyu mzee ni shareholder kwa hyo anaangalia zaidi ugali wake kuliko mashabiki. Kwa wachezaji alio nao huwezi dhani kama ataingia top four lakini kila mwaka yumo.Shiiiii............. Anko bado anajenga uwanja
Are Arsenal no longer an attractive football club? | Just Arsenal News
Shiiiii............. Anko bado anajenga uwanja
Are Arsenal no longer an attractive football club? | Just Arsenal News
hivi mbona mnapoteza muda kupotosha ati arsenal target this player mara that player....ukweli ni kwamba most of the news from the mirror, the sun, daily star huwa ni agents ploys kupromote clients wao na mara nyingi huwa wanafankiwa kwa sababu arsenal is the centre of attention kwenye European football hata kesho ukisikia arsenal have made enquiries for a former TP Mazembe hitman Samatta basi nakuhakikishia hutachukua transfer windows 2 kumuona Samatta EPL, La Liga, Serie A au Bundes Liga....so herrera and Co msiwe vipalamagamba sana kushadadia ati Arsenal ni bidding/pointing club ati ila hawanunui
Aisee, penye moto popote hapakosi mvuke na kila habari ilianza kama tetesi.hivi mbona mnapoteza muda kupotosha ati arsenal target this player mara that player....ukweli ni kwamba most of the news from the mirror, the sun, daily star huwa ni agents ploys kupromote clients wao na mara nyingi huwa wanafankiwa kwa sababu arsenal is the centre of attention kwenye European football hata kesho ukisikia arsenal have made enquiries for a former TP Mazembe hitman Samatta basi nakuhakikishia hutachukua transfer windows 2 kumuona Samatta EPL, La Liga, Serie A au Bundes Liga....so herrera and Co msiwe vipalamagamba sana kushadadia ati Arsenal ni bidding/pointing club ati ila hawanunui
Kishapaniki huyo mkuu, maana anajua anko wenger baada ya kumsajili xhaka ndio kishafunga dirisha la usajili kwake.Mkuu hakuna mtu anaepotosha wala kupoteza muda labda wewe, hizi ni tetesi za usajili na km unajua maana ya tetesi basi wala kulikuwa hakuna haja ya kusema eti watu wanapotosha, ungesaidia endapo haya maneno ungewaambia wahusika kina bbc, sky sports, dairy mirror, dairy star na sio sisi
Si tunachofanya ni kupeana tetesi za usajili na tunajua kuwa % ya kuwa kweli ni ndogo kuliko % ya kuwa uongo so hakuna anaepotosha mtu wala kupotoshwa mkuu bali tuna enjoy. Mtazamo tu
Point of correction: nyie mlikua mnamtaka vardy ila vardy kawakataa nyie, so usiseme HATUHITAJIHatuhitaji mchezaji asiyetaka changa moto mpya.kuna transfer nyingi za wachezaji kutoka timu kukataa kuhamia timu kubwa kama Steven Gerard kukomaa Liverpool na kustaafa bila kombe.jose alimtaka Gerard kuhamia Chelsea zaaidi ya mara mbili aligoma
Kishapaniki huyo mkuu, maana anajua anko wenger baada ya kumsajili xhaka ndio kishafunga dirisha la usajili kwake.