Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata lewondosk tungeweza kumpata ingekua vzr
 
 
Leicester wamempa £100,000 @ week

Kiasi ambacho ni Short kwa £120,000 alizowekewa na Arsenal

Jana Wes morgan,Huth,Schimichael wamemuomba Jemie Vardy hasiwaache

Ila mwisho wa siku Suala la Vardy ni matter of weeks tena si Masiku maana mpaka baada ya Euro ndo atatoa Uamuzi anaenda wapi
 

Itakuaje hatma ya Theo akija vady chief?
Kuna sehemu niliona ETI west ham wanamtaka
 
Itakuaje hatma ya Theo akija vady chief?
Kuna sehemu niliona ETI west ham wanamtaka

Vardy ameshakuwa tia maji tia maji, sizani km ataenda tena arsenal maana Leicester wameamua kumfungia kibwebwe hadi jamaa anaona aibu kuhama, na kuhusu walcot ameambiwa km atabaki itabid apiganie namba upande wa winger na sio upfront so km hataki auzwe 2
 
Itakuaje hatma ya Theo akija vady chief?
Kuna sehemu niliona ETI west ham wanamtaka
Walcott alifanya mazungumzo na AW aliambiwa yeye ni winger wa kulia na arsenal wanasaka CF sokoni

Hana choice ila hata huko number 7 atashia bench hana football brain kabisa Theo

Westham wamekana kumtaka kupitia tweet ya mtoto wa David Sulivan (chairman wa WHU)
 
Itakuaje hatma ya Theo akija vady chief?
Kuna sehemu niliona ETI west ham wanamtaka

Theo anaweza kuondoka lakini itategemea ni timu ipi itamhitaji.

Theo amekataa kuwa sehemu ya usajili wa mchezaji mmoja wa Leicester ingawa anatambua sasa kwamba Wenger hatomweka kwenye mipango yake.

Halafu hongera mkuu naona mmepata beki mshahara Eric Bailly kutoka Villarreal leo katua Machester kutia saini.
 

Licha ya hiyo tu isitoshe kuna wadau kadhaa ambao huenda wakafaidika ikiwa Vardy ataenda Arsenal na mmoja wao ni timu yake ya zamani ya Fleetwood Town na ingine ya watapata milioni 4 ambazo waliziweka kwenye kifungu cha uhamisho wake kwenda Leicester.

Hivyo uhamisho wa Vardy unakuwa umebeba mambo mengi mazito.
 
Yah ahsante Mkuu, ni habari njema sana kwangu kupata CB japo nimemuona mechi chache but he was good,
 
Yah ahsante Mkuu, ni habari njema sana kwangu kupata CB japo nimemuona mechi chache but he was good,


Eric Bailly ni mtaalam wa "scissor tackles".

Ni good deal ni mkoba wa Ivory Coast na kama umeangalia mechi za timu hiyo (Fainali ya mataifa ya Afrika mwaka 2015) na zile za timu yake ya Villarreal unaona hakuna tofauti na mabeki mshahara wetu wa zamani Sol Campbell au Kolo Toure wakati wa Gunners wakiwa Invincible.

Huyu alisajiliwa na Villarreal miezi 18 iliyopita kwa euro kama milioni 2.5 hivi kuchukua nafasi ya Gabby Paulista aliesajiliwa na Arsenal.
 
Vipi, Babu hamuhitaji tena Chicharito???
 
Breaking News Arsenal wamesaini mkataba na mgodi wa Tanzanite
 
Ratiba ya msimu ujao kutolewa kesho jumatano 11:00 AM East African time, 4:00Am ET. Predicting Chelsea vs Man Utd at darajani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…