Jamani hebu mwenye mashairi (lyrics) ya official arsnl anthem amwage hapa.
Nataka niimbe kabla ya mtanange.
..leo naenda kuangalia kwenye Tv niachane na livestreaming hizi sometimes zinaleta kokoro!!
Jamani hebu mwenye mashairi (lyrics) ya official arsnl anthem amwage hapa.
Nataka niimbe kabla ya mtanange.
Mkuu wimbo wa leo kwa mashabiki ndani ya Emirates:
To Madrid, to Madrid
We are going,
To Madrid, we will go to play,
To Madrid, to Madrid,
We are going,
WE ARE GOING AT THE END OF MAY
Hahaha, wanunulie pints hao fat arses! Naona leo hata yule jamaa anayehitaji 52 chances kufunga amefunga!Peasant, I am heading to Arsenal's pub....huwa nasikia raha sana hasa wanapofungwa nikiwa kwenye hiyo pub! huwa nawanunulia pints washabiki!