Bado ni ukosefu wa akili kudhani kuwa Arsenal chini ya Wenger inaweza kwa namna yoyote kufanikiwa. Huyu mzee ashadumaa akili, ila nadhani Management board ya Arsenal ndo imedumaa zaidi, these guys allow Wenger to keep doing same things in the same way and expect different results.... This is insanity!!!!!
Sio kwangu, labda mashabiki in plasic, iko obvious Arsenal kuchukua epl under Wenger zama zilishapita!
NATHUBUTU KUSEMA, MIMI NI ARSENAL ILA KAMA TUTAQUALIFY ECL, mdau yeyote anichagulie adhabu! Nitaifanya kwa nidhamu ya hali ya juu.
Poleni arsenal.....nyie uwa mna kasemba moja mkianzaga mwaka ni kufungwa kwa kwenda mbele.....sijui mapilau ya xmass na mwaka mpya uwa yanawaathiri......