Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naomba kuuliza hivi Game Theory mwanzilishi wa hii Thread yuko wapi? au kabadilisha timu
 
Kwa wale wanaowahi Emirates:



Porto: An early kick-off for all Gooners



Come on you Reds


Wenye wivu wajinyonge.
 
Yupo Sol Campbell! Hakuna haja ya kununua mwingine, Silvester pia anaweza kuchukua mkoba
welcome back mkuu,toka ulivyotoroka humu sisi ni furaha kwenda mbele na hata sisi hatujawahi kukaa kwenye matanga kwa mda uliokaa wewe ha ha ha.
 
Maana siku tumefungwa na Porto waliongea hao wakasahau nao wana game na Inter...

Lakini siku hizi tumewazoea, si uliona walipotea kwa muda. ngoja wamsubiri special one akirudi darajani. Waombe golikipa wao apone upesi maana Hilario ni bomu ambalo linasubiri kupasuka.
 
Porto have never lost a European tie on any of the 24 previous occasions they have won the first leg at home.

Peasant, I am heading to Arsenal's pub....huwa nasikia raha sana hasa wanapofungwa nikiwa kwenye hiyo pub! huwa nawanunulia pints washabiki!
 
Peasant, I am heading to Arsenal's pub....huwa nasikia raha sana hasa wanapofungwa nikiwa kwenye hiyo pub! huwa nawanunulia pints washabiki!

Hahahahaha hutakuwa na raha hiyo leo, maana leo tunasonga mbele Mkuu.
 
Hahahahaha hutakuwa na raha hiyo leo, maana leo tunasonga mbele Mkuu.

Arsenal: Almunia, Sagna, Campbell, Vermaelen, Clichy, Nasri, Song, Diaby, Rosicky, Bendtner, Arshavin.
Subs: Fabianski, Eduardo, Walcott, Denilson, Silvestre, Eboue, Traore.

FC Porto: Helton, Fucile, Rolando, Bruno Alves, Pereira, Ruben Micael, Coelho, Raul Meireles, Varela, Falcao, Hulk. Subs: Nuno, Guarin, Belluschi, Rodriguez, Gonzalez, Maicon, Miguel Lopes.
 
Jamani hebu mwenye mashairi (lyrics) ya official arsnl anthem amwage hapa.

Nataka niimbe kabla ya mtanange.
 
..leo naenda kuangalia kwenye Tv niachane na livestreaming hizi sometimes zinaleta kokoro!!
 
I told you Masanilo 🙂 tumeshatingisha nyavu za mtu. Hahahahaha I am just joking lakini ushindi kama kazi leo
 


Arsenal v Porto (agg 1-2): The Emirates Stadium plays host to the second leg of this Champions League tie which sees the Gunners start with a one-goal deficit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…