Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jumapili pia tunataka uje na hadithi nyingine🙁😀😀
 
Bahati mbaya hujui kwamba baca uingereza nzima wanaiogopa chelsea peke yake hata kama chelsea wawe wabovu kiasi gani baka lazma apigwe tu
Ebu tuombe tu miujiza itokee muwatoe PSG halafu mkutane na Barca tuone hicho unachosema kina ukweli gani...
 
Ebu tuombe tu miujiza itokee muwatoe PSG halafu mkutane na Barca tuone hicho unachosema kina ukweli gani...

Hahaaa naona Hawaijui vizuri baCa! Dah! Haya bana mwache nayy ajifuraishe kidogo, ila siku tukikutananao na tukawadunda hutomuona humu
 
Nakukubali sana....wenzio wote wako mafichoni
Not anymore....tuna focus aliye mbele yetu i mean lester na spurs

nadhani Liverpool watakuwa wanawaombea mbaya zaidi ili mfanane nao
 
Kuna wenzio akina rubaman Wacha wameingia mafichoni,wataibuka jumapili kidogo halafu watarudi tena mafichoni!
Naona wewe herrera, Belo, Mentor and company kila tunapofungwa mnadhani nimekimbia jukwaa. Sionekani sana humu sababu ya kuwa busy na life katika kipindi hiki cha mwanzoni mwa mwaka. Naona maumivu anayowapa LVG mnayamalizia kutusaka vijana wa Wenger. Subirini nitarudi muda si mrefu.
 
khe khe khe khe khe khe khe khe utarudi mkiwa vizuri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…