Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal record at Emirates vs Barcelona:

Played: 2
Won: 1
Drawn: 1
Lost: 0
Goals For (Scored): 4
Goal Against (Conceded): 3
Katika maisha yako, acha kutembea na Historia. Ukitaka kuamini hakuna Historia tena ktk soka angalia Messi na Cr7 wanavyozivunja, kiaha angalia na Game ya leo.
 
Katika maisha yako, acha kutembea na Historia. Ukitaka kuamini hakuna Historia tena ktk soka angalia Messi na Cr7 wanavyozivunja, kiaha angalia na Game ya leo.
Kaka historia ndio imenifikisha hapa. Sitaki kupiga sana nduru vile nataka ujionee fresh kabla hujavurugwa hiyo kesho.
 
Arsenal na barcelona zote ni zangu
ila inapokuja wanakutana huwa nachagua Arsenal

Wenger ni jiniazi
tutawafunga fcb kivyovyote

beki wangu Belespeed beki nacho per na the boss himself

Kiungo wangu chorloquin dawa ya maralia kali
Rambo the engine
Mesut Mustapha Macho Ozil kawa mtamu mcharo mgese tu
winger Alexisssssssss Samshenzi
theo speed walcott
Mtega mabomu wa kifaransa OG keep it real Oliver ginenga Kamuulize manuel Neur huyu ni nani

Keeper ni dereva wa bodaboda anafanya mazoezi ya kudaka risasi

Mje hapa kesho
 
Vijana wapo na leo walifanya mazoezi mepesi tayari kabisa kukabiliana na Barcelona.




Olivier Giroud na wachezaji wenzie wakijiandaa.

Danny Welbeck


Alex Oxlade-Chamberlain na wachezaji wenzie.


Per Mertesacker, Aaron Ramsey, Theo Walcott na Calum Chambers wakiwa kwenye mazoezi leo asubuhi.


Olivier Giroud akirukaruka mazoezini.



Kieran Gibbs, Welbeck, Mohamed Elneny, Oxlade-Chamberlain na Alexis Sanchez wakijipnyoosha mazoezini.


Arsenal manager Wenger mwenyewe akichezea mipira kwenye mazoezi hayo ya leo asubuhi.


Arsenal star Mesut Ozil akiwa amejifunika na kitambaa kuzuia baridi ilokuwa ikipuliza leo asubuhi pale London Colney.


Mikel Arteta and Gabriel wakitazama mazoezi yakiendelea kwani wao wanauguza majeraha.


Sanchez na Bellerin.


Makipa wetu Petr Cech na David Ospina wakiwasili uwanjani kwa mazoezi.


Arsenal star Theo Walcott nae alikuwepo.


Arsenal's Alex Iwobi nae ndani.


Mastermind Wenger.


Petr Cech anatarajia kukabiliana vilivyo na Lionel Messi.

Picha hizi zimekujia kwa hisani ya wapiga picha wa vyombo vya habari vya PA, BPI, Reuters na mzee wetu Kevin Quigley.

Hawa walikuwa ni sehemu kubwa ya wanahabari ambao walipiga kambi kwenye uwanja wa mazoezi wa Arsenal wa London Colney leo asubuhi.
 
Kitu ambacho Arsenal wamejisahau ni kwamba, wanadhani Barca wanawadharau Arsenal. Labda niwaambie kwamba msimu Barca amepania kuweka record ya kubeba UEFA mara mbili mfululizo, Barca hataleta dharau yoyote Game yake ya kwanza Emirates labda apate ushindi mzuri ndo acheze kwa kuridhika maana ninyi sio Madrid, mngekuwa Madrid mngepelekwa mpera mpera kwa dakika zote 90.
 
Hii Game ingeanza Spain Arsenal kesho angeondoka na chini ya bao 6 mpaka 7.
 
Dah minaionea huruma sana hii timu inayoshiriki kila Mara uefa bila mafanikio. Alafu Leo wanaenda kutuaibisha kwa kipogo cha mbwa MTU .pia nafkiri mnamjua suamagoli dah ataua MTU Leo .arsenal1-6barcelona
 
Barca hatoki hapa
 

Attachments

  • 1456212833316.jpg
    24.3 KB · Views: 38


nawaombea tu msipgwe ya aibu ...............
 

Attachments

  • MSN.jpg
    14.9 KB · Views: 121
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…