Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alex Oxlade-Chamberlain of Arsenal is tackled
by Glen Johnson (left) of Stoke City

Marko Arnautovic of Stoke City tries to flick
the ball past Petr Cech of Arsenal with a head
Only one good chance for OG wasted. Half time.
 
NI kweli lakini tunawez akushinda akitoka Chamberlain au Walcott au Ramsey.

Sioni mtu benchi wa kuingia kubadilisha mchezo ulivyo. Labda baada ya kuongoza ataingizwa Midfielder kulinda goli.
 
Alex Oxlade-Chamberlain of Arsenal is tackled
by Glen Johnson (left) of Stoke City

Marko Arnautovic of Stoke City tries to flick
the ball past Petr Cech of Arsenal with a head
Only one good chance for OG wasted. Half time.
OG is being OG
 
Stoke fans throw a verbal tirade at Arsenal's Aaron Ramsey
during the first half (what a shame).
 
Sioni mtu benchi wa kuingia kubadilisha mchezo ulivyo. Labda baada ya kuongoza ataingizwa Midfielder kulinda goli.

Elneny ataingizwa kipindi cha pili .... .. .. mpira bado kabisa huu lazima tuwachape tu wapende wasipende.
 
Wapenzi wa Stoke City wanamchukia sana Ramsey. Hapa wakimzomea alipokuwa akijiandaa kupiga mpira wa kona.

Arsenal wanaweza kuridhika a pointi 1 lakini ni muhimu wakiwa 2 points ahead kwa Leicester na Man City.
 
Elneny ataingizwa kipindi cha pili .... .. .. mpira bado kabisa huu lazima tuwachape tu wapende wasipende.

Ataingia ndani ya dakika 20 za mwisho kuimalisha midfield. Tungekuwa 1-0 ningekuwa na matumaini ya kuondoka na ushindi sababu mabeki wanaonekana wametulia kuliko mechi iliyopita.
 
OG misses again in the start of second half .. .... . free header.
50min .... ....
 
Mpira umeanza nimemaliza kahawa yangu.

Hizi ni huuge 45 minutes

Hakuna mabadiliko.
 
Kwa kifupi ni kwamba Stoke wamepakia basi na hilo halisemwi.

Arsenal ni lazima watafute chumba na mtu apigwe goli moja tu.
 
Campbell yupo off leo...

Campbell kidogo ana nafuu kuliko Chamberlain.

Mpira sasa umeanza kuchezwa na kila timui inatoka eneo lake inagwa Arsenal wamefanya hivyo kwa muda mrefu.
 
Good Two saves kutoka kwa kipa imara Petr Cech! Good game on!

Cech akipangua shuti la Bijan

Kwanza Bojan aliukosa mpira na baade Cech akamzuia asifunge kuoka kwenye kona kabisa ya goli.

Superb Goalkeeping
 
Au Campbell angecheza LW tuone Walcott aje kulia.. Wametukosa
 
Ryan Showcross anamchezea vibaya OG na anakwepa kadi ya njano.

Dakika inakwenda ya 60 Arsenal 0 Stoke 0
 
60min mpira unakuwa mkali sasa .. ... ... .. kila timu inataka kupata goli ... ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…