Mchezaji hanunuliwi kama huyu bila kuwa wamemfuatilia muda mrefu....ulaya scouts wanawajua talents zote na details zao zinawafikia makocha kila kukichaJamani eeh tusianze kumsifia huyu dogo kabla hatujaona anachezaje. Wengi wetu tumemsikia juzi juzi na clips za youtube haziwezi kuwa proof ya kuwa jamaa ni mzuri kama Patrick Vieira au sijui nani. Wapenzi wengi wa Arsenal navyowajua hamkawii kulalamika kuwa Wenger kaingia mkenge kwa kununua mchezaji huyu au yule. Miaka yote tunasikia jinsi watu wanavyowatukana kina Flamini, Arteta, Giroud etc, muda Fulani ilikuwa kina Ramsey, Wilshere. Msimu huu sijasikia mkimtukana Giroud sababu anafunga magoli karibia kila mechi. Tusubiri tuone itakavyokuwa baada ya mechi kama 6 au 10 atakazocheza ndio tutoe verdict.
Mchezaji hanunuliwi kama huyu bila kuwa wamemfuatilia muda mrefu....ulaya scouts wanawajua talents zote na details zao zinawafikia makocha kila kukicha
Sio bure kuna kitu wamekiona pale, la msingi hasizingua na apewe time ya adaptation maana EPL sio ligi ya Uswizi
Mashabiki kutoa verdict kwa players ina base na Emotions ambayo ni aidha furaha au stress dhidi ya perfomance ya mchezaji husika....
ila naamini Dogo kipaji anacho na kwa maelezo ya Kocha ni BOX TO BOX
kitu kingine naombea hasiwe Injury prone
Namba 35 if im not mistakenAtatinga na jezi #. ngapi?
Great news!!!
The trio has started training .... ..... Ding ... Dong. COYG
Arsenal’s Mesut Ozil has been voted as the German national team’s player of the year for 2015. The 27-year-old claimed 45.9% of the vote, with over 51,000 fans naming him as their top player over the 12 months. Bayern Munich’s Thomas Muller and Cologne’s Jonas Hector came second and third with 15.9% and 13.6% of the vote respectively. Ozil featured in eight of Die Mannschaft’s nine games during the year, managing eight assists. He has continued this form for his club, acquiring 16 assists for the Gunners in the Premier League this season. This is the fourth time that the former Real Madrid man has won the award, winning it three times in a row before Toni Kroos took it last year.
Leo tunashinda.Kama leo tutashinda mchezo huu, basi nitazidisha imani ya kushinda EPL hadi 65%. Stoke sio timu ya kuifunga hovyo hasa kwa arsenal, ila km Sanchez atarudi na kufanya vzr basi atakuwa na hali na hamasa ambayo itamfanya ozil awe na imani zaidi na pass zake, kwakuwa Walcott anapoteza nyingi sana...! COYG
Keep it up now you are becoming positive ....though a bit teh teh tehLeo tunashinda.
Ila game hadi half time itakuwa ngumu sana na matokeo yatakuwa 1-1 au 0-0.
Ila second half watakuwa kama Watford magoli matatu ya haraka haraka yatatuhakikishia ushindi.
Game itaisha kwa 0-3 or 1-4.
Ushindi ni lazima and we cant afford to have a diffderent result out of 3 points.