Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wadau, heshima mbele....Site gani ina stream EPL live usiku huu?
 
Jamani mimi ni mgeni kwenye huu uzi lakini naomba nitumie fursa hii kujitambulisha kuwa ni shabiki damudamu wa the Gunners hivyo naomba nitambulike rasmi kuanzia leo na kuendelea ASANTENI

Karibu
 
Welcome brother
 
Karibu sana Gooner...

Together We Stand!...
 
Jamani mimi ni mgeni kwenye huu uzi lakini naomba nitumie fursa hii kujitambulisha kuwa ni shabiki damudamu wa the Gunners hivyo naomba nitambulike rasmi kuanzia leo na kuendelea ASANTENI

Daaah Karibu kwa shingo upande.

Jina likianza na Man daah nawaza tu wale wekundu na Blue bahari.
 
Wakuu wa Gunners ushindi leo muhimu sana .. ... ... COYG

COYG ... .... ..... Ding ... Dong
 
Wachezaji ndio wanatoka hivyo ........ ....... ngoja tuone.
 
Mbona nyie mnakuwa mitetea mara hii jogoo limefanya yake.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…