Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal mpira wetu wa Possession nyingi umepotea mwaka huu.
 
Jamani hawa vijana wananifanya niyabane hadi yanageuka rangi.... Ramsey alikuwa mchoyo pale, tungekuwa tumeshamaliza mechi
 
Hongereni watani wangu naona nyota inazidi kung'aa .....
 
Mpira wa leo - grinding the results - Mvua ilitaka kuharibu mambo hata hivyo tumetoka na point 3 muhimu, Ding ...Dong. COYG
 


Laurent Koscielny akiweka chuma wavuni kuandika bao la ushindi





Prof knows last week alimweka Gaby akaweka vitu, leo Kos





Theo alikuwepo, katika ulinzi mkali ....



Le Prof .... not happy at the touchline ... ..





Rambo in agony .... ..





Ox anam-mis Alexis ... ..



OG hakufua dafu kwenye mvua ... ..





COYG
 
Next stops Sunderland (FA cup) and Loserpool (Premier League) =2 wins.
 
Sioni sababu yoyote kwanini Arsenal wasiwe mabingwa................

Tunamsubiri Alexis arudi kwenye timu pamoja na wachezaji wawili watatu wapya kama Prof alivyohidi, mwaka huu timu zote zilizokuwa promoted wamejitahidi sana kutokana na pesa za TV. Kama Prof aki-manage vizuri wachezaji majeruhi sioni timu ya kuisumbua Gunners kwenye mzunguko wa pili.
 
Sioni sababu yoyote kwanini Arsenal wasiwe mabingwa................

Hahahaha acha kutuchulia mkuu. Ligi bado mbichi hii. Unazi pembeni Arsenal,Leicester, Manchester City, Manchester United, Spurs,(hata kina West Ham United, Palace, Liverpool hawapo mbali) wote wapo nafasi nzuri(kimahesabu) ya kubeba kombe. Arsenal tatizo tulilonalo ni majeruhi tunayopata kila siku. Atakayebeba hili kombe ni yule atakayeendeleza moto (consistence) wa ushindi na kustay focused. Naona Manchester City wame grind results kwa kushinda ndani ya dakika 8 za mwisho.
 
Mmeanza mashaka mashaka tukiwaambia mnabisha,Asante maadam umekiri mwenyewe, wa pili atakayefuata ni wewe kukupa ban msipochukua kumbe...
 
Man utd wako 9pts behind na perfomance zake hazileti matumaini,tulikuwa na fixture list very favourable lakini hatujashinda tangu november 21 mpaka tumebahatisha leo,hio ni midtable form.

Liverpool sisemi chochote ila ni afadhali ya man utd. Palace,hammers come on......u r joking right? Spurs still a small team hawawezi kuchukua ubingwa.

Man city, iwapo Arsenal mkiteleza city ndio anachukua kombe lakini its in your hands.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…