Simpendi sana Garragher na Owen, kwa wao, Arsenal na Wenger ni HAMNA kitu, ila liver ndo mpango mzima, hawana sifa ya kuwa pundits. Sijawahi ona King Henri akiongea uongo kama hawa waingereza!Hako ka-Alan Shearer kana usongo na Gunners kako sawa na kina Gary Lineker, Michael Owen, Carragher et al wana chuki binafsi na Le Prof na Gunners kwa ujumla wake. Comments zao mara nyingi ni za chuki na fitna. Pundits bandia ambao wanabebwa na mafanikio yao finyu. Kama unakumbuka mwanzo wa msimu walisema Chelsick ndio mabingwa mwaka huu.
Simpendi sana Garragher na Owen, kwa wao, Arsenal na Wenger ni HAMNA kitu, ila liver ndo mpango mzima, hawana sifa ya kuwa pundits. Sijawahi ona King Henri akiongea uongo kama hawa waingereza!
Mkuu yupo utamuona vizuri kipindi cha pili!Where is ozil today