Arsenal (The Gunners) | Special Thread


X-mass vibe na vipaji vyao.

Mr assist mpaka kwa mshumaa..!

Tunaeenda x-mass na 6 points toka jiji la Manchester na wanazo 6 zetu acha wafurahi vijana.
Classic men kwenye picha moja

Kwa mapumziko haya akirudi ndio atakua usajili wetu mpya poleni wahanga.
 
Ozil on fire
 

Attachments

  • 1450989744589.jpg
    28.2 KB · Views: 214
  • 1450989760063.jpg
    23.3 KB · Views: 215
Arsenal will launch a £33 million bid for Sevilla midfielder Grzegorz Krychowiak, according to The Sun .
The report claims that Wenger has been keeping tabs on the 25-year-old for over a year and is now ready to activate his buyout clause in the January transfer window.
Wenger’s priority in the January window is a holding midfielder in order to provide cover for Francis Coquelin and Santi Cazorla, who are both sidelined with long-term injuries.
 

...the Sun ni gazeti la udaku uingereza!
 

Sio gazeti ya kuaminika.
Kwangu ni kama habari nikiiona kwenye magazeti ya ovyo ovyo. Wanatafuta kick ya kuuza nakala
 
Hili gazeti ni kama Mawio au Mwanahalisi hapa Tz. Udaku!
 
Kheri ya Xmas wakuu natumaini kila mmoja wenu amefurahia sikukuu pamoja na familia zetu.

Nimeona mjadala kuhusu DM na pia kwamba gazeti la The SUN linadai Arsenal wanataka kumsajili Grzegorz Krychowiak kutoka Sevilla ya Spain.

Arsenal hawatafanya usajili wa kutisha mwezi ujao na wanataka both short term na long term solutions kwa kipindi hiki.

Mwezi Januari watatangaza usajili wa kijana Mohamed Elneny ambae anchezea timu ya Basel ya Uswiss.


Mchezaji wa kiungo wa Basel Mohamed Elneny

Elneny atagharimu kama milioni 5 hivi ambazo si mbaya zikitoka kwenye bajeti ya milioni 40 ambazo ndizo zimetengwa kwa usajili wa January.

Huyu anasajiliwa kwasababu Arteta, na Rosicky bado ni majeruhi na pia wanaondoka wakati wa Summer hivyo Victor Wanyama huedna akasajiliwa wakati huo na sio sasa.

Southampton wamekwishamwabia Victor hawatomruhusu yeye aondoke mwezi January na hata kama Arsenal wanataka kumsajili basi wawe tayari kulipa milioni 20 na zaidi.

Hivyo Arsenal hawatafanya usajili mkubwa sana mwezi January isipokuwa huyu Elneny.
 
kichwa chako kimejaa matope kweli

Tatizo lako kisa umeona ni gazeti la uingereza umeamua kuliamini, NAKWAMBIA, The Sun ni gazeti la udaku UK kama the London Evening tu! Afadhari niliamini The Independent au kidogo Daily Mail.
Habari ya timu yotote ukitaka kuwa na uhakika nayo ione ktk website za timu husika au kupitia vyanzo vya SpySports.
 
Mjue Mohamed Elnany


Kiungo huyu mpya kuingia Emirates siu chache zijazo kutegemea na kupatiwa kibali cha kufanya kazi.
 
habari za usiku wapenzi wenzangu popote pale mlipo.

Arsenal leo inatarajiwa kushika usukani wa ligi baada ya Leicester kutereza kidogo pale Anfield.
 
Team News



Southampton



Arsenal wanaanza na timu ileile iloanza na Man City

Arsenal


 

Timu iliwasili kama nusu saa ilopita na kila kitu kimewekwa tayari.
 
Mpira umeanza na Arsenal wamevalia jezi za rangi ya dhahabu na kaputura za tangi ya bluu iloiva.

Mwamuzi wa mchezo ni John Moss.

Kumbuka Arsenal ikishinda leo inashika usukani wa ligi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…