jitahidini kama kushinda mshinde emirates stadium ila camp nou pale hamtoshuka chini ya goli 4 chini ya king leonel messi hii msn isee inasumbua hua wanataka sifa kila mmoja lazima ascore na akiscore neymar basi hua panafanywa taratibu na suarez ascore akimaliza yee king hapo lazima nakutakieni kila la kheri washika bundukiin jesus name tutashinda mech i yetu na barca!
Unaonesha mahaba badala ya uhalisia.Buyern ni bora mara tatu ya barca mwaka huu! Naiogopa Zenit St. petersburg kuliko Barcelona, alafu, sisi ni underdogs, nothing to lose!
Barca ya mwaka huu ni ya mtu mmoja, Iniesta! Watakaa tu, wajiandae wao kisaikolojia, mi nimejiandaa kisaikolojia kuwabamiza
Barca lazima atage
Unaonesha mahaba badala ya uhalisia.
Maneno murua kabisa ya kumtia mgonjwa moyo wakati unajua kabisa kupona hawezi pona.Arsenal msiogope chelsick kamkalisha barca Mara 4 kafa 3 droo 3 nyinyi mmefunga 1 droo 2 mkafa 4 hivyo nafasi ya kuondoa uteja kwa barca upo muwaachie uteja man u
Unatuchafulia thread yetu, mabingwa gani hata UEFA hamshiriki?Happy birthday my lovely team AC Milan...sisi ni mabingwa wa milele
16 year old Arsenal fans calling Mourinho
a specialist in failure when they've never
seen Wenger win the league in their
lifetime.
poor arse8