Its over Gunners are winners away at Villa Park.
wana arsenal na me shabiki wa arsenal naombeni kujiunga kwenye thread hii
Wakuu kesho ndio tutafahamu nani tutakwaana naye kwenye kinyang'anyiro cha CL .. .... ..
Wakati huo huo Alexis anatarajiwa kesho Colney kwenye mazoezi akitokea Chile alikokuwa anapata matibabu na mazoezi nafuu ili kurudi kutoka kwenye injury aliyokuwa ameipata. Anategemewa kuwa fit kwa mtanange wa Mancs ... ...
![]()
Alexis Sanchez shared a picture of him in the gym working out while back home in Chile with his national coach physio
arsenal vs the mighty barcelona, duh! Hii ndo faida ya kutokumaliza top pf the group!
ila barca watakaa tu!