Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
ha ha ha goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal sasa hili ndio goli langu la ushindi sio la penati lile .Goli ni goli Mkuu jamaa kashika na refa kaona na hakufanya ajizi ya kutoa penalty.
masanilo chimbo lako limegonga muamba .choma msitu huo ulijifichia.
huu ushindi ninahuakika umewapa moyo sana vijana na tutaendelea kazi.Arsenal 3 points behind Chelsick mwaka huu tutaona mwezi May tutakapokuwa tuna-compare notes na wapinzani wetu. Good work vijana wa Arsenal ingawa Ramsey hatujui hali yake.