ARTETA ametufungisha,tutaendelea kupoteza mechi kama arteta ataendelea kucheza defensive midfield mpaka hapo coqlien atakapopona atatusaidia hata tushike namba 4,hatuwez chukua ubingwa kwa sababu hatuna depth ya kikosi miaka yote tutakuwa wasindikizaji kama tutaendelea kuwa na mzee mbishi WENGER