Bwai JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 721 Reaction score 488 Nov 8, 2015 #45,181 rubaman said: Idadi kubwa ya majeruhi inatukosti kwa mara nyingine.... Medical team ya Arsenal itakuwa imesomea Muhimbili. Click to expand... Hahahaaaaa nimecheka Sana, inamaana huwaamini ma Dr wanaozalishwa kwenye Chuo chetu mkuu???
rubaman said: Idadi kubwa ya majeruhi inatukosti kwa mara nyingine.... Medical team ya Arsenal itakuwa imesomea Muhimbili. Click to expand... Hahahaaaaa nimecheka Sana, inamaana huwaamini ma Dr wanaozalishwa kwenye Chuo chetu mkuu???
Dragondreamx JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 564 Reaction score 215 Nov 8, 2015 #45,182 Mi wenger sijui huwa nampendeaga nini huyu twiga
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,121 Nov 8, 2015 #45,183 rubaman said: HT Arsenal -1 Tottenham Spurs Click to expand... Shukrani mkuu, ila dk 45 nyingi lolote laweza kutokea
rubaman said: HT Arsenal -1 Tottenham Spurs Click to expand... Shukrani mkuu, ila dk 45 nyingi lolote laweza kutokea
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,535 Reaction score 7,946 Nov 8, 2015 #45,184 Fukuzeni huyu Wenger hawa wachezaji wenu (watoto) sijawahi kuwasikia popote duniani wakicheza eti ndio wapambane na full mziki wa tot'ham.
Fukuzeni huyu Wenger hawa wachezaji wenu (watoto) sijawahi kuwasikia popote duniani wakicheza eti ndio wapambane na full mziki wa tot'ham.
Dragondreamx JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 564 Reaction score 215 Nov 8, 2015 #45,185 Kuna gap kulia Na bado wa kulifukia hilo gap lisionekane sana wenger kamuweka twiga... dahh Hii game ilitakiwa Gabriel na laurent
Kuna gap kulia Na bado wa kulifukia hilo gap lisionekane sana wenger kamuweka twiga... dahh Hii game ilitakiwa Gabriel na laurent
Mhdiwani JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 650 Reaction score 712 Nov 8, 2015 #45,186 mbuzi kala mkekaaaaa
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Nov 8, 2015 #45,187 Bwai said: Hahahaaaaa nimecheka Sana, inamaana huwaamini ma Dr wanaozalishwa kwenye Chuo chetu mkuu??? Click to expand... Bongo tunazalisha wataalamu wa vyeti sio wa ufanisi, mkuu. Si Rais wala mzoa takataka wote ufanisi ni 0-0. Kwa porojo na kujidai ndio tupo 150% above anybody.
Bwai said: Hahahaaaaa nimecheka Sana, inamaana huwaamini ma Dr wanaozalishwa kwenye Chuo chetu mkuu??? Click to expand... Bongo tunazalisha wataalamu wa vyeti sio wa ufanisi, mkuu. Si Rais wala mzoa takataka wote ufanisi ni 0-0. Kwa porojo na kujidai ndio tupo 150% above anybody.
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,121 Nov 8, 2015 #45,188 cute b said: Eeeh Mungu naomba matokeo ya hawa arsenal yasibadilike yaani wasirudishe hilo goli bali waongezewe. Amen Click to expand... Ningeshangaa kama usingetia maguu yako hapa hahaaaa ama kweli adui mwombee njaaa
cute b said: Eeeh Mungu naomba matokeo ya hawa arsenal yasibadilike yaani wasirudishe hilo goli bali waongezewe. Amen Click to expand... Ningeshangaa kama usingetia maguu yako hapa hahaaaa ama kweli adui mwombee njaaa
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Nov 8, 2015 #45,189 cute b said: Eeeh Mungu naomba matokeo ya hawa arsenal yasibadilike yaani wasirudishe hilo goli bali waongezewe. Amen Click to expand... Una akili sana .... Mungu atakusikia .... Ameen Kama Dj Khaled anavyosema "You Smart"
cute b said: Eeeh Mungu naomba matokeo ya hawa arsenal yasibadilike yaani wasirudishe hilo goli bali waongezewe. Amen Click to expand... Una akili sana .... Mungu atakusikia .... Ameen Kama Dj Khaled anavyosema "You Smart"
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Nov 8, 2015 #45,190 Ngoja nikalale. Mtanipa matokeo, tutabaki 2nd place...
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Nov 8, 2015 #45,191 rubaman said: Hahahaha Leicester City wapo moto hadi sasa... Kina Tashna(Duh unavyowakumbuka,nilishawasahau) watakuwa wanavaa jezi ya Jamie Vardy. Summer tutasikia mnampandia Vardy kidau aje OT. Click to expand... Vardy akiendelea namna hiyo, itakuwa hamna namna nyingine zaidi ya summer kujiunga na "Timu Bora"
rubaman said: Hahahaha Leicester City wapo moto hadi sasa... Kina Tashna(Duh unavyowakumbuka,nilishawasahau) watakuwa wanavaa jezi ya Jamie Vardy. Summer tutasikia mnampandia Vardy kidau aje OT. Click to expand... Vardy akiendelea namna hiyo, itakuwa hamna namna nyingine zaidi ya summer kujiunga na "Timu Bora"
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Nov 8, 2015 #45,192 ARV said: Fukuzeni huyu Wenger hawa wachezaji wenu (watoto) sijawahi kuwasikia popote duniani wakicheza eti ndio wapambane na full mziki wa tot'ham. Click to expand... Dah Mkuu umetisha
ARV said: Fukuzeni huyu Wenger hawa wachezaji wenu (watoto) sijawahi kuwasikia popote duniani wakicheza eti ndio wapambane na full mziki wa tot'ham. Click to expand... Dah Mkuu umetisha
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Nov 8, 2015 #45,193 Campbell anapata shida kucheza RW, jamaa ni mzitoooooo
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Nov 8, 2015 #45,194 rubaman said: Ngoja nikalale. Mtanipa matokeo, tutabaki 2nd place... Click to expand... Usilale bana utaendaje kulala pekeyako na mimi uniache hapa na nani?
rubaman said: Ngoja nikalale. Mtanipa matokeo, tutabaki 2nd place... Click to expand... Usilale bana utaendaje kulala pekeyako na mimi uniache hapa na nani?
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Nov 8, 2015 #45,195 Siku ya kufa nyani hii... Ngoja nkalale bana. Si unaona tunavyokosa everlenk Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Nov 8, 2015 #45,196 Waseme said: Ningeshangaa kama usingetia maguu yako hapa hahaaaa ama kweli adui mwombee njaaa Click to expand... Ha ha haa nakosajee... Adui yako mwombee njaa...wataisoma namba...hawawez kutuacha kwa point nne nikacheka nao
Waseme said: Ningeshangaa kama usingetia maguu yako hapa hahaaaa ama kweli adui mwombee njaaa Click to expand... Ha ha haa nakosajee... Adui yako mwombee njaa...wataisoma namba...hawawez kutuacha kwa point nne nikacheka nao
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Nov 8, 2015 #45,197 Midfield yetu imepwayaaa....
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,121 Nov 8, 2015 #45,198 Aaaah mmekamatwa leo, hii koswakoswa hiii mhhhh
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Nov 8, 2015 #45,199 goli la pili muda si mrefu
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,121 Nov 8, 2015 #45,200 cute b said: Ha ha haa nakosajee... Adui yako mwombee njaa...wataisoma namba...hawawez kutuacha kwa point nne nikacheka nao Click to expand... Na hivi city kadroo hamna namna
cute b said: Ha ha haa nakosajee... Adui yako mwombee njaa...wataisoma namba...hawawez kutuacha kwa point nne nikacheka nao Click to expand... Na hivi city kadroo hamna namna