Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msijali sisi na Munchen points draw wametuzidi magoli mawili tu kutokana na majeruhi tuliyokuwa nayo. All in all vijana walijitahidi sana na waswahili wanaema mcheza kwao hutuzwa. Bring them on.
Kweli unajua kujifariji.....officially wana 9pts nyinyi 3pts...its group stage not knockouts!
Hii defence yetu imekwenda usingizini pale.......
Naona siku hizi wanakuacha peke yako kupigania "Chama"
Tutashindwa kuchukuwa usukani leo...
Tutashindwa kuchukuwa usukani leo...
Mkuu nipe update naona uko peke yako humu
HT Arsenal -1 Tottenham Spurs
Najiuliza kwa nini Wenger kampanga Debuchy na kumuacha polista nje
Leicester city tunakuja kuchukua nafasi yetu hapo juu
**Tashna atakuwa na furaha sana siku hizi lol
Jamie Vardy anapiga magoli daily kuwazidi mizigo Ozil na Falcao