Arsenal (The Gunners) | Special Thread



OG kama kawa 1 up assist from MO ... ... ... .Ding ... Dong
 


OG celebrates .... ...



LK doubles the lead ... ... Ding ...Dong





JC anafunga dirisha kwa swans 3 up .... ....



MO kama kawa .. ... ...



JC goal .. .... ...



In a flash with the speed of light Bellerin tackles Gomes in the box ... . .



Cech was there for it ... ... .



Alexis was double marked all the time ... .



FC removing dangers from the Swans .... ..







Cech was there to take care ..... ....
 


MO



The players salute the travelling fans .... .. Ding ... Dong.
 


Bellerin catching Gomis in a flash ..... ...



HB . ... .. Ding ...Dong.
 


Danny Crowley

Prof wiki hii kashituka amemrudisha mara moja Danny (on loan) kutoka Bansley baada ya kupata majeruhi ya OX na Theo ili kuzipa pengo pale katikati. The 18 year old ni moto wa kuotea mbali more or less katika uchezaji wake anamfuatia HB
 


Prof kafunga makabrasha chacha anaangalia Munchen ... . ..Ding ...Dong.
 
I believe Joel Campbell was outstanding today. I always told you he had top top individual quality, you don't listen very well.
 




Wenger issues instructions to Kieran Gibbs on the game
when the 2,000th goal of his reign was scored

 
Aisee leo vp wakuu??? Nasikia Wenger anataka kutumia style ya Kufungwa leo ili tuwe na nafasi nzuri ya Kuchukua EPL Trophy kwani ushindi wetu leo unaweza kutuweka mahala pabaya hasa kiafya kwani tayari Theo na Chamber wapo Benchi, so we need to more improve and look on EPL and FA rather than UCL....Hii mbinu ilitumiwa na Man U kufika top 4 mwaka juzi/jana na pia 2013-14 ilitumiwa na Liverpool na ilibakia kidogo tu achukue ndoo ya EPL...

Hapo vp wadau the Gunners? Always Gunners
 

Mkuu Sizinga vip kitambo saana.
ni kweli tuna majeruhi mkuu lakini naamin Wenger anaenda Munchen kwa lengo la kupata matokeo mazuri na sio kufungwa ili akomae na ligi na kama imetokea Gunners tumefungwa sidhani kwamba hiyo ndio itakuwa sababu ya kuitoa.
#COYG.
 
Last edited by a moderator:
Mwisho wenu umefika,acheni visingizio, Olympiakos anamfunga D.Zagreb anafikisha 9pts. Munich anawachapa au hata mkiambulia draw mnafikisha 4pts. Mtaungana na Chelsea kucheza Europa ila inabidi mkaze mechi za mwisho.
 
Arsenal hawana sababu ya kupoteza game ya leo kwa hoja dhaifu kama hii mkuu.....matokeo yoyote tutakayopata Allianz Arena ni matokeo ya approach na game plan ya babu kwa mtanange huu...Kwanza kwa kutokua na wachezaji wetu ambao kwa asili ni pacy km Walcott, Chambo na Belerin jumlisha figheter wetu Rambo...inamaana we'll have to sit dip and wait to counter attacking them for the right chance and at the right time......
 
leo by any means lazma bayern akae...ha2taki mazoea kabsa na timu yeyote, n kutoa discipline 2

BTW injuries won't affect us as much as haters think; we have a complete pack to deal with situations like this

MBURUKENGE WOTE KARIBUNI MTIZAME MTANANGE....COYG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…