barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Huyu Ozil pasi zake anazipiga kwa mikono Fa walichunguze hili za ki-DHL
halafu huyu walcott siku hizi ana akili zaidi
Huyu wa kuitwa paulista dogo Martial alihisi ni Nyoso
Kokolini ni dawa ya maralia sugu
yule wa kuvaa 33 naomba nimuite asante chelsea
Wenger bado ni profesa kweli
Halafu pale ni Emirates
Hongereni Gooners...LvG kawapa game hii kwa kupanga 'vibabu' viwili dimba la kati kwenye game ambayo Morgan alistahili kuanza...
[h=3]BREAKING: Rodgers sacked as Liverpool boss[/h]Statement from Liverpool owners, the Fenway Sports Group: "Although this has been a difficult decision, we believe it provides us with the best opportunity for success on the pitch.Aiseee
Breaking news:
Hatimae wale majogoo wa jiji Liverpool wameamua kumbenesha virago kocha wao B. Rogers
Na tumaini hata siku za mourinho zinahesabika apeleke mdomo mrefu huko Italy ama uturuki, in Wenger we trust
Endeleeni kutrust! huyo mwenye mdomo anavikombe vingapi na Wenger anavyo vingapi? Ila Wenger atastaafu bila champions League !mwenye mdomo kabeba mbili mpaka astaafu habari utakuwa nayo
Naona hasira za Southampton unatuletea hapa. Mechi 8, point 8, position 15, magoli ya kufungwa 16, magoli ya kufunga 4, magoli ya kufungiwa 2.
Kakojoe ukalale na kikombe cha Champions League. Maureen naye kocha? Huyo si MC tu, kocha wa hoya hoya, soka hajui kufundisha anajua kusajili tu. Anasajili wachezaji wenye viwango, anawatumia wakichuja hajui kuwafufua. Special Woman a.k.a Maureen
Endeleeni kutrust! huyo mwenye mdomo anavikombe vingapi na Wenger anavyo vingapi? Ila Wenger atastaafu bila champions League !mwenye mdomo kabeba mbili mpaka astaafu habari utakuwa nayo