Ila sikubalini nawe kuwa Martial was missing.....he was the only player kwenye timu yangu niliyeona walau akiwa na mpira anafanya kitu kuisumbua defence yenu
Hongera sana kwa kufua macchozi baada ya kungoja muda mrefu
Kwa umri wake dogo ni mzuri NAKUBALI. Na akiendelea hivi atakuwa next Rooney wenu muda si mrefu sababu Rooney career yake inafikia ukingoni. Tusubiri tuone kama ata-accomplish it au atakuwa frustrated na performance kama ya leo.
siku hizi unatokea mkishinda au tukipigwa ubaya. Mama mdogo anakuweka busy Brussels. Kwa mwendo huu nakubai jumapili tunakuja kupigwa tena. Defending ilikuwa mbaya sana...
dah! ila huyu dogo tuweke ushabiki pembeni, ningefurahi kweli kama angekuwa wetu, ni mzuri sana, movements zake tu na yuko quick sana! Per alikuwa na wakatigumi ila sema Gabriel nae ni kama Kolsielny, yuko fast, dogo akigeuka Paulista yuko nae ila kwa dogo wa miaka 19, yuko very very good!