Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna mahali refa alishauriana na linesman. Sikuona popote wakishauriana...

Mkuu angalia marudio utaona Refa akishauriana na linesman kwa kifaa chao cha mawasiliano kilichopo masikioni na alipopata confirmation ndio akatoa kadi.
 
Khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe...eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Marefa na malinesmen wanavaa wireless microphones zinazowaruhusu kuwasiliana

Labda mawasiliano ya mtindo huu ndo yalitokea, ila muda ambao refa alitoa kadi baada ya tukio ulikuwa ni mchache sana na hakuonesha ile body language kuwa yupo kwenye mawasiliano kupitia wireless phones.
Pia ndugu Ngarna anasema aliwaona wakiwasiliana ktk 'replay' yaani marudio nafikiri.
Anyway, hii sio topic, topic ni sisi arsenal tumefungwa leo.
 
Last edited by a moderator:
@ngarma Tv yake ilimuonesha kuwa kuna mahali refaree alishauriana na assistant wake!

Tabu ya kuangalia mpira kwenye vibanda umiza. Marefa na ma
linesmen wana wireless microphones zinazowafanya wawasiliane bila Refa kumfuata linesman kama mlivyotaka nyie.
 
..olryt; kumbe kinachowasaidia siku hizi ni kule kujiangusha angusha na kumlilia refa, mbinu chafu za kimchezo ila ndizo mnafundishwa na moureen,that'z fyn, though too low.!
may be mtaendelea kulia lia mpk muwe mabingwa msimu huu..
 
Tabu ya kuangalia mpira kwenye vibanda umiza. Marefa na ma
linesmen wana wireless microphones zinazowafanya wawasiliane bila Refa kumfuata linesman kama mlivyotaka nyie.

Sawa umeshinda mkuu, ila mimi nikiangalia mechi kibanda umiza na wewe ukiangalia nyumbani huku kibanda umiza hawaonyeshi replays au?? Point yako ni nini hapo.
 
..olryt; kumbe kinachowasaidia siku hizi ni kule kujiangusha angusha na kumlilia refa, mbinu chafu za kimchezo ila ndizo mnafundishwa na moureen,that'z fyn, though too low.!
may be mtaendelea kulia lia mpk muwe mabingwa msimu huu..

Mkuu mimi sio Chelsea na nawachukia ile mbaya lakini nawaheshimu kwa mbinu za kutafuta ushindi. The end result justifies the means. Usipandwe na HP bure it is just a game. Move on.
 
Sawa umeshinda mkuu, ila mimi nikiangalia mechi kibanda umiza na wewe ukiangalia nyumbani huku kibanda umiza hawaonyeshi replays au?? Point yako ni nini hapo.

Pointi yangu kwenye vibanda umiza na kwenye ma bar watu hawaangalii football bila kupofushwa na ushabiki na utafutaji visingizio. Kushinda, kufungwa na sare ndio matokeo yanayoweza kutokea kwenye mpira. In the end lazima mojawapo litokee. Mkuu kama nime ku offend haikuwa nia yangu. Naomba msamaha.Mimi huwa sipendi timu bila kuwa mkweli hata kama ukweli huo unaathiri ushabiki wa timu ninayoishabikia.
 
Mkuu mimi sio Chelsea na nawachukia ile mbaya lakini nawaheshimu kwa mbinu za kutafuta ushindi. The end result justifies the means. Usipandwe na HP bure it is just a game. Move on.

..baada ya red card ya kwanza nilishajiandaa kwa yote, nikajua nxt 45 minutes zitakua chungu,na ndivyo ilivyokua,no surprise at all.!
 
Makosa ya Gab

Tunaomfahamu M Dean wala hatushituki

Ubabe ubabe tu .... ...
 
The clash between Costa and Gabriel occurred after the striker confronted Koscielny and pushed him to the floor on the stroke of half time

After watching Costa push his team-mate, Gabriel makes his way towards Costa to confront the striker at Stamford Bridge on Saturday
 
Carz baada ya red card ..... ..... ... ni ajabu mchezaji kuonekana hivi ..

Man of the match Mike Dean na Moureen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…