Mechi imeharibiwa na upumbavu wa wachezaji wa Arsenal Gabriel kakubali kuwa kupandishwa hasira na kumpiga teke la nyuma Costa. Refa Dean hakuona lakini alishauriana na mshika kibendera. Kadi ya Carzola ipo wazi hakuna cha kulalamika. Alikuwa na kadi ya njano. Aka tackle late akapewa kadi nyingine njano which equals red.Kuwa naive ndio kumei cost Arsenal leo. Mpira ni mchezo wa mbinu ukiingia kichwa kichwa unaumia.