Hongereni Arsena wenzangu,ushindi safi kabisa huu...Pointi tatu saaaaaaaaaafi...Tunakuja kuwashika(Man Utd)
mkuu sijui ulijificha wapi naona hukutaka kabisa kubadilishana mawazo leo jukwaani lool.asante sana na hongera na wewe.enjoy siunajua misiba inahama hama lol.Hongereni Arsena wenzangu,ushindi safi kabisa huu...Pointi tatu saaaaaaaaaafi...Tunakuja kuwashika(Man Utd)
i will take the penalty mkuuu si tumelipiwa hile ya rosicky juzi au? sio mbaya jamaa kamuingilia njia sio.
kweli kabisa japo tumeshinda lakini tumepoteza nafasi nyingi sana za wazi ambazo zingeweza kutu-cost.sawa mkuu, tunalipwa taratibu naona!! walau tunawakaribia ManUre, bado kumtafuta Chelski, na tusiafford kupoteza mechi. Timu inatakiwa ionyeshe njaa zaidi, sio kucheza na mpira maeneo muhimu bila kufunga!!
kelele zimekuwa nyingi kwa vile nyumba ya pili huko kuna ajali imetokea.naomba tupe uhuru wa kushangilia mkono nenda kwenye jukwaa lako ushangilie ushindi wako lol.Kelele zimekuwa nyingi hivi hamjazoea kushinda!
Kelele zimekuwa nyingi hivi hamjazoea kushinda!
Hahahahahaa kushinda mechi 27 bado tu hatujazoea kushinda...LOL! 🙂 Nyinyi mliyezoea kushinda mmeshinda mechi ngapi Mkuu!?
Refariiiiiz!
Hongera kwa kuongoza league
....job well done vijana!
...Next, Away game na Stoke City. Machungu ya FA cup bado ninayo,...I hope tutalipiza kisasi cha siku ile...!
Arsenal will be EPL champs. This is a prediction from Sumbawanga's prologers! Hongereni