Timu zinafanya mabadiliko Arsenal Theo Walcott anatoka na Olivier Giroud anaingia. Stoke City nao wanafanya mabadiliko Mohamed Diouff anatoka na bojan anaingia.
WakatiArsenal wanafanya mabadiliko kuwaingiza Alex Oxlade Chamberlain na Mikael Arteta badala ya Mesuti ozil na Laexis Sanchez, Giroud anafunga goli la kichwa baada ya Santi Cazorla kupiga mpira wa adhabu wa juu
Sasa ili kuweka rekodi sawa Arsenal sasa inashika nafasi ya pili kwa kuwa na points 10 nyuma ya Man City ambao wamewafunga Crystal Palace kwenye dakika ya 96 goli lililofungwa na mchezaji wa kimataifa wa Nigeria Kelechi Iheanacho.
Hivyo Cystla Palace wanashika nafasi ya tatu kwa kuwa na points 9
Moureen amewatumia salamu maalumu ili mjitayarishe vizuri.
"It is better not to look at the table," said Chelsea manager Jose Mourinho. "For me it is the first time I look and see my team in that position. I don't look at the table, I look to players, the training session we have and the matches. "Our next match in the Premier League is against Arsenal and we are candidates to win."
Mfikishieni hizi salamu Prof. Wenger na vijana wake.